Wakenya watengeneza gari ya kwao kwa asilimia 98%, Watz tunalichukuliaje hili?

kitkat

Member
May 23, 2014
16
0
Shirika la Kenya la Mobius Motors,limetangaza rasmi kuingiza sokoni gari zake za bei nafuu sana,zimetengenezwa maalumu kwa ajili ya kuweza kumudu barabara za africa,gari ina nafasi ya watu nane na ina milango miwili tu,na ili iwe ya bei nafuu haikuwa na mapambo mengi,ina uzito wa 1275KG,na inauwezo wa kubeba mizigo ya 625KG,na ina uwezo wa kukata masafa ya 120KM kwa saa moja.

Angalia video hiyo kupitia you tube:

Attachments

  • 01_mobius_motors_mobius_two1.5vb6oa8rf400kwsck8o4o8gsg.a5fuq7lrqzkgc0ccw4ss08gso.th.jpeg.jpg
    File size
    28.5 KB
    Views
    1,580
Last edited by a moderator:

Wapoti

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
2,822
2,000
Kwa Tz inaweza kuwa ndoto kwa sababu serikali haipendi kukuza vioaji vya vijana. Kwenye channel ya EATV kipindi cha Mtaani kwetu cha Zembwela anajitahidi kuonesha vipaji vya watu kama kutengeneza umeme kwa kutumia upepo mwingine kwa kupiga pedal baiskeli wengine hata ndege japo haikupaa juu sana vigogo wa nchi wanaona na kunyamaza tu wanasubiri ku import Technology
 
Qualifier

JF-Expert Member
Dec 14, 2012
1,253
1,225

Tukigundua vitu vyetu tutapunguza mianya yao ya kuunda makampuni hewa na kuchota mabilioni ya mavuja jasho.
 
Tiba

JF-Expert Member
Jul 15, 2008
4,596
2,000
Kwa Tz inaweza kuwa ndoto kwa sababu serikali haipendi kukuza vioaji vya vijana. Kwenye channel ya EATV kipindi cha Mtaani kwetu cha Zembwela anajitahidi kuonesha vipaji vya watu kama kutengeneza umeme kwa kutumia upepo mwingine kwa kupiga pedal baiskeli wengine hata ndege japo haikupaa juu sana vigogo wa nchi wanaona na kunyamaza tu wanasubiri ku import Technology

Mkuu endapo think tank wa nchi ni Mwigulu Nchemba na Mzee wa Gombe Wassira, unategemea nini? Badala ya serikali kutumia pesa kuinvest kwenye technology development, wao wanatumia pesa za walipa kodi kujaribu kuua upinzani. Hivi Wassira aliyesema Chadema itakufa yuko wapi? bado anaikumbuka kauli yake?

Tiba
 
zumbemkuu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
10,150
2,000
Shirika la Kenya la Mobius Motors,limetangaza rasmi kuingiza sokoni gari zake za bei nafuu sana,zimetengenezwa maalumu kwa ajili ya kuweza kumudu barabara za africa,gari ina nafasi ya watu nane na ina milango miwili tu,na ili iwe ya bei nafuu haikuwa na mapambo mengi,ina uzito wa 1275KG,na inauwezo wa kubeba mizigo ya 625KG,na ina uwezo wa kukata masafa ya 120KM kwa saa moja.

Angalia video hiyo kupitia you tube:

hii tangu Enzi za MOI
 
Last edited by a moderator:

Bishop Hiluka

Verified Member
Aug 12, 2011
6,407
2,000
Hata wenzetu walioendelea hivyo hivyo, siku hizi simu imetengezwa Finland, betri China, kioo Korea, jumba Sweden, Cover Finland.

Sipingani na wewe lakini hawa wakisema wanatengeneza naweza kuwaelewa,
lakini sisi kila kitu kilitengenezwa sehemu nyingine sisi tukaunganisha tu...
 
MtiMawazo

JF-Expert Member
Mar 4, 2014
823
0
Huku kwetu kwenye kufanya maamuzi ya msingi kiongozi anacheka au analia,kufika huko ni kwa hisan ya watu wa Amerika.Si unaona hata katiba tumeshindwa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom