Wakenya Wasusia Uchaguzi/ Kenyans Boycott Elections

Ili Uhuru ashinde, anahitaji atleast 50% ya watu wote waliojiandikisha....akipata chini ya hapo uchaguzi unarudiwa
Na kama waliopiga kura wengi ni wa Uhuru, kwa sababu wa Odinga wamemsikilizakiongozi wao aliyewambia wasusie kupiga kura, Uhuru kupata 50% sasa itakuwa rahisi kuliko uchaguzi wa awali.
 
Ya Candidates wengine akiwemo Raila,kumbuka karatasi ya kupigia kura Raila yupo
Hivi kwa mfano Raila akipata kura nyingi zaidi ya Uhuru(let's say watu waseme hawezi kushinda halafu wengi wampigie sympathy votes ashinde), akafikisha hizo 50%, wakati alisema hashiriki uchaguzina uchaguzi hauwezikuwa wa haki, hapo itakuwaje?
 
Na kama waliopiga kura wengi ni wa Uhuru, kwa sababu wa Odinga wamemsikilizakiongozi wao aliyewambia wasusie kupiga kura, Uhuru kupata 50% sasa itakuwa rahisi kuliko uchaguzi wa awali.
Hata kama waliopiga kura wote wamempigia Uhuru (amepata 100%), lakini kama hiyo 100pc ya waliopiga kura haijafikia 50pc ya waliojiandikisha...basi uchaguzi utarudiwa
 
Hata kama waliopiga kura wote wamempigia Uhuru (amepata 100%), lakini kama hiyo 100pc ya waliopiga kura haijafikia 50pc ya waliojiandikisha...basi uchaguzi utarudiwa
Ooh, OK.

So Raila anapiga mahesabu kwamba wafuasi wake wanaosusia wanafika 50% ?
 
Hata kama waliopiga kura wote wamempigia Uhuru (amepata 100%), lakini kama hiyo 100pc ya waliopiga kura haijafikia 50pc ya waliojiandikisha...basi uchaguzi utarudiwa
Suala si waliojiandikisha, ni waliopiga kura.

138. Procedure at presidential election - Kenya Law Reform Commission (KLRC)

Constitution of Kenya
Part 2. The President and Deputy President
138. PROCEDURE AT PRESIDENTIAL ELECTION
Parent Category: Chapter Nine - The Executive

Hits: 128799


137. Qualifications and disqualifications for election as President

Constitution of Kenya
Part 2. The President and Deputy President
138. PROCEDURE AT PRESIDENTIAL ELECTION
Parent Category: Chapter Nine - The Executive

Hits: 128799

inShare
(1) If only one candidate for President is nominated, that candidate shall be declared elected.
(2) If two or more candidates for President are nominated, an election shall be held in each constituency.
(3) In a presidential election--

(a) all persons registered as voters for the purposes of parliamentary elections are entitled to vote;
(b) the poll shall be taken by secret ballot on the day specified in Article 101 (1) at the time, in the places and in the manner prescribed under an Act of Parliament; and
(c) after counting the votes in the polling stations, the Independent Electoral and Boundaries Commission shall tally and verify the count and declare the result.

(4) A candidate shall be declared elected as President if the candidate receives--

(a) more than half of all the votes cast in the election; and
(b) at least twenty-five per cent of the votes cast in each of more than half of the counties.

(5) If no candidate is elected, a fresh election shall be held within thirty days after the previous election and in that fresh election the only candidates shall be--

(a) the candidate, or the candidates, who received the greatest number of votes; and
(b) the candidate, or the candidates, who received the second greatest number of votes.

(6) If more than one candidate receives the greatest number of votes, clause (5) (b) shall not apply and the only candidates in the fresh election shall be those contemplated in clause (5) (a).
(7) The candidate who receives the most votes in the fresh election shall be declared elected as President.
(8) A presidential election shall be cancelled and a new election held if--

(a) no person has been nominated as a candidate before the expiry of the period set for the delivery of nominations;
(b) a candidate for election as President or Deputy President dies on or before the scheduled election date; or
(c) a candidate who would have been entitled to be declared elected as President, dies before being declared elected as President.

(9) A new presidential election under clause (8) shall be held within sixty days after the date set for the previous presidential election.
(10) Within seven days after the presidential election, the chairperson of the Independent Electoral and Boundaries Commission shall--

(a) declare the result of the election; and
(b) deliver a written notification of the result to the Chief Justice and the incumbent President.

< 137. Qualifications and disqualifications for election as President
139. Death before assuming office >
 
Huu uzi bana hata kuthibitisha tu kama kulikuwa na wagombea wengine wa urais ni shida? Abduba Dida, Japheth Kavinga, Joseph Nyagah ni baadhi ya wagombea urais ambao walikuwa kwenye karatasi za kupiga kura pamoja na Uhuru Kenyatta na mnafik mkuu Raila Odinga.
 
Vita vya panzi, furaha ya kunguru. Natamani ningekuwa sehemu ya wanufaika kama wachapishaji wa karatasi za kura wa saga hili. Uchaguzi huu hauwezi kuwaacha salama.
 
FB_IMG_1509041656281.jpg
 
Sidhani kama Uhuru atatoboa 50%

Lol. Ficha ujinga.
Uhuru ako na 97% hivi sasa.
50%+1 ni ya votes cast.
Alafu, ukweli wa mambo low turnout si kwa sababu ya boycott pekee. Ata stronghold za Uhuru bado kuna low turnout. Mostly ni fatigue na lack of interest juu winner alikuwa ashajulikana.
Area zingine, vitisho vya Nasa vya kuwaua na kuwapiga wataopiga kura zilikuwa sababu kuu ya low turnout.
 
Lol. Ficha ujinga.
Uhuru ako na 97% hivi sasa.
50%+1 ni ya votes cast.
Alafu, ukweli wa mambo low turnout si kwa sababu ya boycott pekee. Ata stronghold za Uhuru bado kuna low turnout. Mostly ni fatigue na lack of interest juu winner alikuwa ashajulikana.
Area zingine, vitisho vya Nasa vya kuwaua na kuwapiga wataopiga kura zilikuwa sababu kuu ya low turnout.
Sawa analyst-uchwara tumekusikia..
 
Tatizo la kulazimisha Urais,katiba ipo wazi kabisa kama kituo kimoja tu kisipoiga kura hakuna urais!vituo vingi vilifungwa bado dosari ya wapiga kura itajitokeza Uhuru,hafiki hata nusu ya waliojiandikisha
 
it becomes clear that Jubilee has always bragged about numbers but low turn out has forced them to stuff boxes and doctor forms to save face
 
Uhuru already has more votes now than Raila had in August election.
This is despite violence on voters, uncertainty of whether elections were going to take place due to numerous court cases, expected voter apathy.

Now the question is who is fooling who?
 
Back
Top Bottom