Wakenya washinda shindano la watu wenye muonekano mbaya zaidi Afrika.

Status
Not open for further replies.
Huo ni mtazamo wako, mbona Flavian Matata anakubalika, ila rangi ya kati na kati inapendeza zaidi, not too black, not too much brown.
Ni mtazamo wangu ndio, ila kwa taarifa yako waCongo na waTanzania ndio wanaoongoza kwa kujichubua, kama umeshawahi kwenda kenya na uganda ni nadra sana kuona wasichana wenye rangi ya papai, na wanajichubua kuridhisha wanaume. Ni mtazamo wangu kama ulivyosema, ila ndio ukweli wenyewe.
 
MISS AFRICA WORLD 2017 AND MISS KENYA/NO4 MISS WORLD 2017

  1. Magline-Jeruto-top-ten.jpg

    23593717_10156012091929974_1570872132690165269_o-1024x683.jpg

    Miss-World-Kenya-Top-10-2.jpg

    Miss-World-2017-Is...-Miss-India-Manushi-Chhilar-4.jpg
 
Lets just forget about the most beautiful people for once and focus on the most ugly people in the world especially Africa. Beauty is in the eyes of the beholder and so is ugliness but when there are a lot of eyes beholding anybody as ugly, it becomes a more generalized opinion. There are definitely some countries that have more ugly people than others across Africa, in such African countries, you need a higher concentration of those who refuse to appeal to the eyes of many
beholders.

Nawasilisha !.
ISS AFRICA WORLD 2017 AND MISS KENYA/NO4 MISS WORLD 2017

  1. Magline-Jeruto-top-ten.jpg

    23593717_10156012091929974_1570872132690165269_o-1024x683.jpg

    Miss-World-Kenya-Top-10-2.jpg

    Miss-World-2017-Is...-Miss-India-Manushi-Chhilar-4.jpg
 
Siku tukitengeneza tuzo zetu.. Kujipima kwa vigezo vyetu ndio nitaanza kuwaheshimu washindi.. Nazi ya haya matuzo ni kupromote racial surpemacy agenda..

All bilion dolar grossing movies until recently zilikuwa lazima zichezwe na wazungu.. Kina Denzel wanafanya makubwa hawaonwi.. Black actors wanapewa degrading au parts which contradicts with their values.. Wanawachukua from nowhere na kuwaahidi fame wanalaghaika.. I just don't like it

Nakubaliana na wewe kwa hili Kamu..
Inasikitisha kwa kweli kuona talented black actors wakiachwa nyuma from some of Importatant roles, then given to their white counterparts in this industry, as a result, hata awards nyingi zinaishia kwao weupe.
Imagine kama Oscars katika leading role kuna washindi weusi 5 tu so far, of which mwanamke ni mmoja tu I think.

Halafu kama Will Smith pamoja na kuanza kufanya pretty serious, nice movies sasa, lakini they still don't go too far.
Movies zake kama Concussion, I am Legend ungefikiri zingeweza kupata some sort of award but...
 
Hua nachukia ukiangalia movie ya whites tupu kama kuna Black lazima afe au lazima apewe character ya ukatili mpaka watu walipoanza kulalamika siku hizi ndio kidooogo imepungua naona hata wachina wanawekwa.

Ila Blacks na wenyewe umeona movies zao?? hawa waweki whites na kama wapo wanakua wapo wapo tu kama wasindikizaji....
Ubaguzi wa rangi hauwezi kuisha milele.

Tehe!, blacks huwa wananifurahisha movies zao, wanajiweka wenyewe roles kubwa kubwa in most of them na sidhani kama wanaona vibaya kuitwa wabaguzi. Yaani ni kulipiza mbele kwa mbele..
 
Ni mtazamo wangu ndio, ila kwa taarifa yako waCongo na waTanzania ndio wanaoongoza kwa kujichubua, kama umeshawahi kwenda kenya na uganda ni nadra sana kuona wasichana wenye rangi ya papai, na wanajichubua kuridhisha wanaume. Ni mtazamo wangu kama ulivyosema, ila ndio ukweli wenyewe.
Jambo la kujiuliza ni kwanini wanaume wa Kenya na Uganda wanawapenda zaidi wanawake wa Tanzania kuliko nchi zao?,
 
Unajua huku kwetu kama haujajichubua wanakuchukulia sio mzuri, ukimuuloza mbongo mzuri anafananaje, atakujibu wema sepetu na hamisa mobeto, lakini lupita anaonekana mbaya.

Ndo hapo, naona tunaangalia zaidi uzuri wa nje na kwa nje na kuacha the inner beauty of the person.
 
Nakubaliana na wewe kwa hili Kamu..
Inasikitisha kwa kweli kuona talented black actors wakiachwa nyuma from some of Importatant roles, then given to their white counterparts in this industry, as a result, hata awards nyingi zinaishia kwao weupe.
Imagine kama Oscars katika leading role kuna washindi weusi 5 tu so far, of which mwanamke ni mmoja tu I think.

Halafu kama Will Smith pamoja kuanza kufanya pretty serious, nice movies sasa lakini they still don't go too far.
Movies zake kama Concussion, I am Legend ungefikiri zingeweza kupata some sort of award but...
Tutafika tuwe tu wavumilivu. The future is bright!
 
Jambo la kujiuliza ni kwanini wanaume wa Kenya na Uganda wanawapenda zaidi wanawake wa Tanzania kuliko nchi zao?,
Hiyo kwangu ni mpya, labda kwa sababu ya mkologo wao, si unajua mwanamke akijikoboa sio haba, ila umti ukienda ndio madhara yanaonekana, na wewe inabidi ujiulize kwa nini waKenya na waGanda hawajichubui kama waTanzania? Au ndio kutaka kufanana na kina rihana?
 
Kwani lengo la mwanamke au wanawake hapa duniani ni nini?, au lengo la wewe kuwa na pesa na maisha mazuri ni lipi?, pamoja na mambo mengine ni ili upendwe na watu, hasa hasa wanawake. Lengo la wanawake nao ni kupendeza ili wapendwe na wanaume, sasa kama wanawake watanzania wanafanikiwa kwa kujichubua, vipi unataka wawaige wa Kenya na Uganda badala ya wao ndiyo waige watanzania?, katika hili wanawake wa Tanzania wanawazidi hao wengine hivyo inabidi wao ndiyo waigwe na wenzao, kitendo cha Kenya na Uganda kutokujichubua kunawafanya wawe inferior kwa watanzania, hawapendwi na wanaume. Kuhusu madhara baadae, hata wanywaji wa pombe pia kuna madhara baadae, vipi waache kunywa pombe au kuvuta sigara?
 
Kama Kenya ningekuwa nyumba au familia basi wageni, idlers na haters wangefurika kila siku kama ilivyo sasa. Thank you again for making the Kenyan section famous with lots of traffic especially from foreign territory.
 
IMG_0419.PNG
IMG_0418.PNG
IMG_0418.PNG
Kwani lengo la mwanamke au wanawake hapa duniani ni nini?, au lengo la wewe kuwa na pesa na maisha mazuri ni lipi?, pamoja na mambo mengine ni ili upendwe na watu, hasa hasa wanawake. Lengo la wanawake nao ni kupendeza ili wapendwe na wanaume, sasa kama wanawake watanzania wanafanikiwa kwa kujichubua, vipi unataka wawaige wa Kenya na Uganda badala ya wao ndiyo waige watanzania?, katika hili wanawake wa Tanzania wanawazidi hao wengine hivyo inabidi wao ndiyo waigwe na wenzao, kitendo cha Kenya na Uganda kutokujichubua kunawafanya wawe inferior kwa watanzania, hawapendwi na wanaume. Kuhusu madhara baadae, hata wanywaji wa pombe pia kuna madhara baadae, vipi waache kunywa pombe au kuvuta sigara?
Wanafanikiwa vipi? Kwa hiyo mwanamke kupendwa na wanaume kwako ni mafanikio? Kama ni mwanaume basi shukuru Mungu maana inaelekea ungekuwa dem ungefanya plastic surgery ufanane na beyonce ili uwavutie wakina ja Jay Z, yaani ujibadilishe ngozi ya mwili then useme mafanikio, kawaangalie dada zetu umli ukienda wanavokuwa na mabaka kama samaki, nina wasiwasi kama unajua maana halisi ya mafanikio, wadada waKitanzania waliofanikiwa kwenye nyanja wa urembo, kuanzia millen, flavian, odemba na huyo herieth hawajawahi kujichubua, ila kama kwako mafanikio ndio hayo basi giggy money na amber lulu kwako wamefanikiwa sana coz hadi prezoo kutoka kenya kapita
 
Kenya kwenye swala la Warembo hakuna kitu kabisa, Mimi nawapenda waganda afu most of ladies from kenya are lesbian, They are so ugly
 
View attachment 636178 View attachment 636176 View attachment 636177
Wanafanikiwa vipi? Kwa hiyo mwanamke kupendwa na wanaume kwako ni mafanikio? Kama ni mwanaume basi shukuru Mungu maana inaelekea ungekuwa dem ungefanya plastic surgery ufanane na beyonce ili uwavutie wakina ja Jay Z, yaani ujibadilishe ngozi ya mwili then useme mafanikio, kawaangalie dada zetu umli ukienda wanavokuwa na mabaka kama samaki, nina wasiwasi kama unajua maana halisi ya mafanikio, wadada waKitanzania waliofanikiwa kwenye nyanja wa urembo, kuanzia millen, flavian, odemba na huyo herieth hawajawahi kujichubua, ila kama kwako mafanikio ndio hayo basi giggy money na amber lulu kwako wamefanikiwa sana coz hadi prezoo kutoka kenya kapita
Inaonekana upo out of touch with reality, nimekuambia katika maswala ya mapenzi sio uchumi, kwani wasichana wanapojitahidi kuvaa vizuri na kupoteza muda mwingi na pesa katika urembo lengo lao ni ili wapate pesa au wapendeze wapate attention ya watu, hasa wanaume?, kwani.ukisikia kuna mashindano ya urembo unadhani wanashindanisha mafanikio ya kiuchumi?, hao uliowataja akina Jackline Mengi, Flavian Matata, walitumia urembo wao wakawavutia watu wenye pesa ndiyo wao wakatumia hiyo opportunity kuwa hapo walipo, kupendeza na kuvutia wanaume ni kitu muhimu sana kwa mwanamke yeyote yule, wenyewe wapo hapa wanafuatilia waulize watakujibu.
 
Huyo ni kahaba, pesa aliyopata herieth kufanya tangazo la victoria secret ni kubwa kuliko hata angekuwa mbunge, flavi alikula 1.5mil usd kufanya tangazo la brah tu. Happy/Millen ndio don na kazaa na mtu wa kawaida, huyo flavian naye kaolewa na mtu wa kawaida sana, ila nimekuelewa ndugu, utakuwa unawaongelea hawa
IMG_0420.jpg

Ninaowaongea mimi ni wanawake ambao natural beauty ambao wanapiga pesa na endosement za kutosha mwenzangu unawaongelea hao ambao wanajikoboa ili wapate mabwana wenye hela, kweli tuko tofauti kimitizamo, sawaa, nimekuwekea picha ya walembo wako hao. Na wana mabwana kweli kweli, mpaka nje ya nchi. Na wamefanikiwa acording to your view.
 
View attachment 636217

Wewe tatizo una mawazo ya kizamani sana, pia inaonekana huna exposure ya dunia, unachokiamini wewe unataka kiwe kama kilivyo, na usichokiamini wewe basi hakifai, wapo wanaopenda hiyo natural skin kama wewe, lakini walio wengi wanapenda watu waliojipodoa na kubadilisha skin iwe a bit light, ndiyo sababu biashara hiyo imekuwa kwa kasi sana duniani, kuna wanaopenda natural hair, lakini wengi wanapenda nywele bandia, kwanini unapingana na dunia?

Nimesema mwananmke anajiremba ili avutie wanaume wa hali ya juu kimaisha, watu wenye hali nzuri wanapenda kuoa wanawake warembo, na urembo wa mwanamke unaongezwa na vipodozi, wachache kama wewe ndiyo wasiopenda vipodozi.

Kuhusu hizo taarifa za kina Flavian kupata pesa nyingi za matangazo, kwanza hazihusiani na mjadala wetu, mjadala ni kupendeza kwa mwanamke na kupendwa kwa wanawake kati ya wanaojichubua na wasiojichubua, sasa hayo ya kupata pesa nyingi yanakujaje hapa?, unadhani hao unaowataja kigezo cha kupata hizo pesa ni kutojichubua?, zaidi ya hayo yote usilete habari za udaku usizokua na ushahidi ili muradi tu ujaze server ya JF, lete ushahidi kuonyesha kwamba alilipwa $1.5m katika tangazo alilofanya.
 
Wow!!!! she is so beautiful.... slim, exactly my type
Se connecter à Facebook | Facebook
mbona hata wakenya wenzake wanamkana?

Back
Top Bottom