Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,212
- 6,972
Wewe inaonekana unatamani sana ukabila. Kwani hao wa kale sio wakenya?Siyo Kenya bali Wakalenjin. Wewe Mkikuyu hahusiki na riadha.
Kumbuka hata kule marekani watu weusi ndo hushinda gold kwa mbio za masafa mafupi na michezo kama basketball .. alafu wazungu wale weupe pepepe wanaoishi maeneo yenye baridi kali(achana na wale wanaoishi miami au NY ambao wamepigwa na jua hadi wakawa brownish) ndo hua wanachukua gold za sport kama swimming, shooting, kayaking ...