Wakenya wanauza wake zao!

mbongowakweli

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
841
671
Majirani zetu wameamuwa kuongeza kipato kwa kuwafanya wake zao makahaba!
Hawa manyang'au bila aibu au haiba wanasingizia maisha magumu kwa kuvunja mila na desturi za Kiafrika kwa kuendekeza pesa..
Siku zote huwa tunawasikia wenzetu humu JF wakijigamba walivyo na uchumi mkubwa, maendeleo na elimu ya kutosha...
Kwa hili hapana, ni aibu na tunawasihi wakenya waache huu mchezo mchafu wa ukahaba mara moja!
 

Attachments

  • Manyang'au wanauza wake zao.pdf
    175.9 KB · Views: 45

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom