Wakenya Wanae James Orengo Watanzania Tunae Tundu Lissu !!

Lisu huyu bahaluli, ambae haoni makosa ya katiba ya Chadema, katiba ya Chadema inakataza mwanachama wake kutafuta haki mahakamani..
 
Wakati kenya Wanahangaika Kujenga Taasisi Imara Tanzania Tunahangaika Kumjenga Mtu Imara, Maendeleo Tutayasikia Kwa Jirani Tu!!

uamuzi wa Supreme Court ya Kenya ni ushindi mkubwa kwa wapigania demokrasia kila mahali duniani na kwetu pia.

Uamuzi huo umetokana na Kenya kuwa na Mahakama iliyo huru na isiyokuwa na hofu, woga wala upendeleo katika utendaji wake wa haki.

Mahakama hiyo huru imetokana na Kenya kuwa na Katiba Mpya ya kidemokrasia ya mwaka 2010.

Katiba hiyo ilipunguza na au kudhibiti mamlaka ya Rais wa Kenya, na ilimaliza utawala wa kiimla uliodumu Kenya kwa karibu nusu karne.

Kwetu sisi uamuzi huu ni fundisho kubwa sana.

Tunahitaji demokrasia itakayoondoa utawala wa kidikteta katika Tanzania pia.

Tunahitaji Katiba Mpya itakayolinda haki za binadamu, kuleta utawala wa sheria na kuondoa utawala wa amri za majukwaani na bomoa bomoa.

Ili kupatikana kwa demokrasia hiyo, tunahitaji Katiba Mpya.

Katiba Mpya itakayopunguza na kudhibiti Urais wa Kifalme ambao umekuwa 'organizing principle' ya Katiba yetu tangu mwaka 1962.

Katiba Mpya itakayoiweka huru Mahakama ya Tanzania, ambayo leo haina hata Jaji Mkuu, na kuwatoa hofu majaji wetu.

Katiba Mpya itakayowawezesha watawaliwa kuwadhibiti na kuwaadabisha watawala, wanaojigeuza miungu watu mara wakishaingia madarakani.

Kwa hiyo, pamoja na kuwa urais uliotenguliwa ni wa mgombea tuliyemuunga mkono, hatuna budi kushangilia ushindi huu wa utawala wa sheria na uhuru wa mahakama.

Na, bora zaidi, hatuna budi kuyafanyia kazi mafundisho ya demokrasia ya Kenya: Katiba Mpya na ya kidemokrasia.

Katiba Mpya ya Kenya haikujileta. Ililetwa kwa jitihada, jasho na damu ya waKenya. Katiba Mpya ilipiganiwa, ilidaiwa na, baada ya kupatikana, imelindwa.

Na kwetu lazima iwe hivyo hivyo. Haitapatikana kwa kuombewa makanisani au misikitini tu. Itapatikana kwa kudaiwa mitaani na barabarani na Mahakamani na kila mahali.

Haitapatikana kwa vigelegele na vicheko. Itapatikana kwa vilio vya wanaodai haki na wanaokandamizwa.

Hebu na tujielekeze katika kazi ngumu na muhimu iliyoko mbele yetu. Kazi ya kudai Katiba Mpya.
-----------------------------------------------------------------------
Tanzania na Kenyat wote tu-nchi masikini, lakini umasikini wetu ni wa akili zaidi kuliko mali. Tusipobadilika Kenya wataendelea kutuacha sana.

mr mkiki.
Usiseme watanzania sema bavicha au chadema. Usiniongelee nafsi yangu tafadhali.
 
No utakuwa umemchanganya na Mutula Kilonzo marehemu
Inawezekana nimechanganya madesa mkuu, lakini ngoja nivute kumbukumbu vizuri, maana kuna Wakenya wengi walipita pale enzi hizo akiwamo mgombea mwenza wa NASA (Kalonzo Musyoka).
 
Wakati kenya Wanahangaika Kujenga Taasisi Imara Tanzania Tunahangaika Kumjenga Mtu Imara, Maendeleo Tutayasikia Kwa Jirani Tu!!

uamuzi wa Supreme Court ya Kenya ni ushindi mkubwa kwa wapigania demokrasia kila mahali duniani na kwetu pia.

Uamuzi huo umetokana na Kenya kuwa na Mahakama iliyo huru na isiyokuwa na hofu, woga wala upendeleo katika utendaji wake wa haki.

Mahakama hiyo huru imetokana na Kenya kuwa na Katiba Mpya ya kidemokrasia ya mwaka 2010.

Katiba hiyo ilipunguza na au kudhibiti mamlaka ya Rais wa Kenya, na ilimaliza utawala wa kiimla uliodumu Kenya kwa karibu nusu karne.

Kwetu sisi uamuzi huu ni fundisho kubwa sana.

Tunahitaji demokrasia itakayoondoa utawala wa kidikteta katika Tanzania pia.

Tunahitaji Katiba Mpya itakayolinda haki za binadamu, kuleta utawala wa sheria na kuondoa utawala wa amri za majukwaani na bomoa bomoa.

Ili kupatikana kwa demokrasia hiyo, tunahitaji Katiba Mpya.

Katiba Mpya itakayopunguza na kudhibiti Urais wa Kifalme ambao umekuwa 'organizing principle' ya Katiba yetu tangu mwaka 1962.

Katiba Mpya itakayoiweka huru Mahakama ya Tanzania, ambayo leo haina hata Jaji Mkuu, na kuwatoa hofu majaji wetu.

Katiba Mpya itakayowawezesha watawaliwa kuwadhibiti na kuwaadabisha watawala, wanaojigeuza miungu watu mara wakishaingia madarakani.

Kwa hiyo, pamoja na kuwa urais uliotenguliwa ni wa mgombea tuliyemuunga mkono, hatuna budi kushangilia ushindi huu wa utawala wa sheria na uhuru wa mahakama.

Na, bora zaidi, hatuna budi kuyafanyia kazi mafundisho ya demokrasia ya Kenya: Katiba Mpya na ya kidemokrasia.

Katiba Mpya ya Kenya haikujileta. Ililetwa kwa jitihada, jasho na damu ya waKenya. Katiba Mpya ilipiganiwa, ilidaiwa na, baada ya kupatikana, imelindwa.

Na kwetu lazima iwe hivyo hivyo. Haitapatikana kwa kuombewa makanisani au misikitini tu. Itapatikana kwa kudaiwa mitaani na barabarani na Mahakamani na kila mahali.

Haitapatikana kwa vigelegele na vicheko. Itapatikana kwa vilio vya wanaodai haki na wanaokandamizwa.

Hebu na tujielekeze katika kazi ngumu na muhimu iliyoko mbele yetu. Kazi ya kudai Katiba Mpya.
-----------------------------------------------------------------------
Tanzania na Kenyat wote tu-nchi masikini, lakini umasikini wetu ni wa akili zaidi kuliko mali. Tusipobadilika Kenya wataendelea kutuacha sana.

mr mkiki.
Huijui Kenya mkuu bora ukae kimya. Hivi uliona mahakama haikugusia kura? Ni wapi uliona uchaguzi wa Rais ukafutwa? Wapi hapa dunianu? Linu? Hii siyo demokrasia, ni ujuha. Wabarudia kura, majibu ni hayo hayo kwa vile makabila ni yake yale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una

Unajaribu kitu kigumu sana. Kuwauliza Nyumbu wetu wapendwa, kwao wapi? Serengeti au Masai Mara halafu unategemea jibu.
Watanzania tupambanane na hali zetu hawa Chadema ni janga la kitaifa usipokuwa makini na maneno yao utakuwa zuzu!!!
 
Wakati kenya Wanahangaika Kujenga Taasisi Imara Tanzania Tunahangaika Kumjenga Mtu Imara, Maendeleo Tutayasikia Kwa Jirani Tu!!

uamuzi wa Supreme Court ya Kenya ni ushindi mkubwa kwa wapigania demokrasia kila mahali duniani na kwetu pia.

Uamuzi huo umetokana na Kenya kuwa na Mahakama iliyo huru na isiyokuwa na hofu, woga wala upendeleo katika utendaji wake wa haki.

Mahakama hiyo huru imetokana na Kenya kuwa na Katiba Mpya ya kidemokrasia ya mwaka 2010.

Katiba hiyo ilipunguza na au kudhibiti mamlaka ya Rais wa Kenya, na ilimaliza utawala wa kiimla uliodumu Kenya kwa karibu nusu karne.

Kwetu sisi uamuzi huu ni fundisho kubwa sana.

Tunahitaji demokrasia itakayoondoa utawala wa kidikteta katika Tanzania pia.

Tunahitaji Katiba Mpya itakayolinda haki za binadamu, kuleta utawala wa sheria na kuondoa utawala wa amri za majukwaani na bomoa bomoa.

Ili kupatikana kwa demokrasia hiyo, tunahitaji Katiba Mpya.

Katiba Mpya itakayopunguza na kudhibiti Urais wa Kifalme ambao umekuwa 'organizing principle' ya Katiba yetu tangu mwaka 1962.

Katiba Mpya itakayoiweka huru Mahakama ya Tanzania, ambayo leo haina hata Jaji Mkuu, na kuwatoa hofu majaji wetu.

Katiba Mpya itakayowawezesha watawaliwa kuwadhibiti na kuwaadabisha watawala, wanaojigeuza miungu watu mara wakishaingia madarakani.

Kwa hiyo, pamoja na kuwa urais uliotenguliwa ni wa mgombea tuliyemuunga mkono, hatuna budi kushangilia ushindi huu wa utawala wa sheria na uhuru wa mahakama.

Na, bora zaidi, hatuna budi kuyafanyia kazi mafundisho ya demokrasia ya Kenya: Katiba Mpya na ya kidemokrasia.

Katiba Mpya ya Kenya haikujileta. Ililetwa kwa jitihada, jasho na damu ya waKenya. Katiba Mpya ilipiganiwa, ilidaiwa na, baada ya kupatikana, imelindwa.

Na kwetu lazima iwe hivyo hivyo. Haitapatikana kwa kuombewa makanisani au misikitini tu. Itapatikana kwa kudaiwa mitaani na barabarani na Mahakamani na kila mahali.

Haitapatikana kwa vigelegele na vicheko. Itapatikana kwa vilio vya wanaodai haki na wanaokandamizwa.

Hebu na tujielekeze katika kazi ngumu na muhimu iliyoko mbele yetu. Kazi ya kudai Katiba Mpya.
-----------------------------------------------------------------------
Tanzania na Kenyat wote tu-nchi masikini, lakini umasikini wetu ni wa akili zaidi kuliko mali. Tusipobadilika Kenya wataendelea kutuacha sana.

mr mkiki.
Taasisi imara hazishuki tu kama kilivyoshushwa kitabu kitukufu. Ni zao la WATU IMARA unaosema tunahangaika "kuwajenga" (sijui kivipi). Hakuna taasisi iliyojichimbia madarakani kwa mwanya wa madhaifu ya Katiba kama ilivyo CCM itafurahia na kusimika taasisi Imara na ndio maana unaona hata kiongozi wake kajaa UOGA mkuu na mawazo mbadala na kukosolewa na WATU IMARA ambao ndio chachu ya taasisi imara unazoota.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom