Wakenya wana akili kubwa kuliko Watanzania na Wana Afrika Mashariki wote!

Mimi hao watu huwa najiuliza kama hizo akili wanazo kwanza. Wamekubali mfumo wa ubepari ulioletwa na wakoloni wakati jamii nyingi zina watu masikini zaidi, wasio na ardhi. Ardhi yao inamilikiwa na mtu mmoja na familia yake. Nchi nzima imejaa vibaraka wa wakoloni ambao kazi yao ni kulamba viatu vya wazungu. Pathetic
 
Back
Top Bottom