Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,312
- 10,492
...leo nimepata ka Chance nipo zangu hapa Nairobi, nakunywa chai ya rangi mgahawa mmoja mzuri mzuri! Asee hawa wakenya wana akili sana. Leo mie msikilizaji tu, ila Siasa yao ina ushindani mzuri na wenye afya. Ni nchi gani East Africa makamu wa Rais anaweza kumchallenge live rais na akaendelea kuwepo madarakani? Uganda? Rwanda? Haiwezekani.
Uchumi wao upo imara na unaendelea kukua. Wakenya wana-thinking kubwa ya namna ya kukua kimaisha na kukuza uchumi. Miundo mbinu yao ipo far better than ya kwetu. Yaani ukikaa na elite group huku, u feel ile vibe ya mabepari. Kudos majirani...
Hawa jamaa sio waoga kabisa linapokuja suala la haki. Huku mpk waalimu wataandamana na watawala watatikisika. Sie kwetu wapoleeee kama kondoo wa bwana Heri.....
Miji yao michache niliyopita wameipanga vzr. Wasomi kibao, kazi wanajazana wao kwa wao. Pale Tz kuna shirika nilifanyia kazi, bosi alikua mkenya, asee alijaza wakenya wenzie sie watz tukabaki kulia lia tu. Yaani mpk mpiga picha alikua mkenya, wakati rafiki angu Ian, msambaa wa mjini kabaki kuuza picha za ubatizo na kipaimara pale St Joseph
...next week napita Kigali, nitakuja na mrejesho wa kule pia. Ila wakenya Salute kwenu ila bibi zenyu wanapenda pesa zaidi ya dada zangu wa pale kwetu Rombo!!!