Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,304
- 12,965
Nimeandika mara tatu kukujibu mara zote nimefuta. Na hiki nilichotaka kukwambia nimefuta tena baada ya kusoma Mithali 26:4upelelezi wa utakatishaji pesa una vikwazo vyake
Inategemea na upande wa pili mihela ilipoibiw/kupelekwa una respond vipi legal queries kutoka kwa DPP,akae tu sio papai hilo kusema litaoza
kuhusu uamsho nikuulize,mbona tokea wamewekwa ndani zanzibar imepoa?,makanisa hayachomwi wala mapadri hawauawi