Wakenya Wamshukia Magufuli Amuachie Gichana (Mfungwa wa Kisiasa kutoka Kenya)

Kaka Pekee

JF-Expert Member
Apr 3, 2018
336
559
Kenyans online pressure Magufuli to release jailed Kenyan politician
Don Bosco Gichana, a Kenyan who has been jailed in Tanzania since 2013 without trial. [Photo/Trending News Kenya]
Kenyans are now piling pressure on Tanzania’s President John Pombe Magufuli to release a Kenyan who has been languishing in jail for the last seven years without trial.

Don Bosco Gichana – a one-time close political ally to Kenya’s opposition leader Raila Odinga, was arrested by Tanzanian authorities on March 29, 2013, over allegations of money laundering and has since remained in custody.

He was arrested alongside prominent Arusha-based lawyer Median Mwale, Boniface Mwimbwa, and Elias Ndejembi.

Gichana shot to the limelight in the run-up to 2007 general elections after gifting Raila the coveted red Hummer.
He later ran for the Kitutu Chache South Parliamentary seat in 2013 but lost to Richard Onyonka.

Kenyans on Twitter, Monday launched a campaign through the hashtag #upholdRightsForAll calling on Magufuli to release Gichana.

They castigated Tanzanian authorities for holding a Kenyan for seven years without trial, which goes against the spirit of democracy in the African continent.

Here are some of the reactions by Kenyans in the campaign:

bosco.JPG
Source: Kenyans online pressure Magufuli to release jailed Kenyan politician
 
Tokea jamaa aende kule kwa wacheza basketi naona wanatutafuta kwa kasi,

Mara wajenge mabwawa mto mara,
Mara Don bosco

Kelele kibao,
Wanshida gani watu hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa keshashikishwa mgomba kule. Ulisikia hata juzi kati Julius Malema alimponda Kenyata kwa kuwa kibaraka wa mabepari. Wacheza basketi wana hasira na Tanzania kwa sababu ya uhusiano wetu na China. Inawakereketa sana. Ndio maana Grump amesusa kuteua Balozi mpaka leo. Na Magufuli hana habareeeee.
 
Watanzania inavyo onekana mnajiamini sana hasa kwa Kauli zetu humu.Ila mkumbuke hakuna Adui mmbaya kama Jirani yako ,yafaa kuishi nae kwa kutumia Akili zaidi.Huu Ubabe wala hauto tufikisha popote..
With all due respect Peleka huu upupu wako Kenya Forums. Kwa nini mfukunyuku ni Kenya tu? Na sio majirani zetu wengine!?
 
With all due respect Peleka huu upupu wako Kenya Forums. Kwa nini mfukunyuku ni Kenya tu? Na sio majirani zetu wengine!?

Ina wezekana sisi tunakosea zaidi (Who knows behind the scene).Katika yote Sababu zipo ,kama utaratibu wa Sheria zetu upo waambiwe tu lakini sio kila Jambo tunakuwa wakali tu bila ya sababu.Akili itumike zaidi kuliko Nguvu Mkuu.
 
Kwani hamjahusika!? Kuwashwa unakujua wewe msukule wa Ufipa!? Au unabubujikwa najisi tu humu JF!

Ulistahili nilicho kujibu sababu ya Mahaba yako na Walamba Viatu wenzio ,Chadema inaingiaje hapo ?.Unapo jadili weka mambo ya Chama kando ,jadili kama Mtanzaia-Mzalendo na sio mwana CCM kindakindaki.
 
Ina maana hao Wakenya hawajui taratibu za Mahakama Nchini Tanzania!?
Eti "Wamshukia Magufuli"!? Shuwaiinii....
Sitashangaa kukiwa na mkono wa Chadema katika huu upuuzi.
Hiyo ni Catchy Headline tu Jombaa...Kichwa cha habari cha taarifa yao kiko pale juu kwa kimombo...na hii nilishare hapa Just FYI
 
wakenya wengi wao wanaitumia twitter kimuhemuko. mambo yao mengi wanayoandika twitter wanaongozwa na emotions kuliko kutumia logic.
 
Back
Top Bottom