joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Waswahili husema kwamba usijisifu kwamba unakimbia sana kabla hujakimizwa, Kenya miaka yote walikua wakijipa matumaini ya kijinga kwamba wanauwezo mkubwa katika midani za kivita na kuhisi kwamba mataifa mengi yanawahofia.
Ugomvi wa Uganda na Kenya wa kugombea Migingo, na kitendo cha majeshi ya Somalia kuingia na kushambulia Mandera, kunathibitisha kwamba, huwezi kujua kama una kasi kubwa ya kukimbia kabla hujakimbizwa.
Sent using Jamii Forums mobile app