Wakenya wako vizuri kuujenga uchumi wao, Serikali yetu ipo tu kujineemesha viongozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakenya wako vizuri kuujenga uchumi wao, Serikali yetu ipo tu kujineemesha viongozi

Discussion in 'International Forum' started by MPadmire, Oct 13, 2010.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,636
  Likes Received: 906
  Trophy Points: 280
  Checki bandari ya Mombasa, inafanya vizuri sana na hata baadhi ya watanzania wanaitumia. hela ngapi serikali ya kenya inapata????

  Airport za Tanzania zimedorora sana. Kampuni nyingi zaidi za ndege zinatumia Jomo kenya Airport kuliko tanzania.

  nauli za ndege kutoka america na ulaya ni bei rahisi sana. mfano kutoka Netherland mpaka nairobi ni dola 900 (roundtrip/return) wakati kutoka Netherland mpaka KIA au DIA ni 1500 dola.

  Angalia tofauti ni ngapi, hivyo utaona mtalii bora atue Nairobi, ili aunganishe Tanzania kwa basi au local airline.

  Tanzania tubadilishe mfumo wa uongozi, tuwape Chadema tuone. Lets trust Chadema
   
Loading...