Wakenya wakiwa kwenye misiba vs Watanzania wakiwa kwenye misiba

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,901
95,404
Watanzania tunamtegemea sana Mungu lakini wito wangu ni huu hapa:

“Mwamini Mungu, lakini mfunge vizuri Ngamia wako”-Mtume Muhammad S.A.W

Mungu huwa halipi maombi bali hulipa jitihada!Kupiga maombi ya nguvu wakati hakuna mipango wala hatua(Actions) sahihi,stahiki na madhubuti za kupambana na Corona ni kumkejeli Mungu.Ukimkejeli Mungu tarajia mapigo saba ya ghadhabu ya Mungu.

2145.jpg
8765.jpg
 
Watanzania tunamtegemea sana Mungu lakini wito wangu ni huu hapa:

“Mwamini Mungu, lakini mfunge vizuri Ngamia wako”-Mtume Muhammad SAW.

Mungu huwa halipi maombi bali hulipa jitihada!Kupiga maombi ya nguvu wakati hakuna mipango wala hatua(Actions) sahihi na madhubuti za kupambana na Corona ni kumkejeli Mungu.Ukimkejeli Mungu tarajia mapigo saba ya ghadhabu ya Mungu.

View attachment 1706425View attachment 1706426
Sawa
 
Humfahamu Mungu, unawakirisha mawazo yako siyo ya Mungu i see!
 
Endelea kupiga maombi ya nguvu bila ya kuchukua hatua stahiki dhidi ya Corona uone kama utaiona kesho yako!
Ngoja umshangae Mungu wetu, anayeweza yote! Asiyehitaji msaada uwao wowote wa binadamu!
 
Sasa hiyo si ndio mikusanyiko isiyo ya lazima,kuna ulazima gani kujazana hapo na kufanya mikusanyiko?
 
Back
Top Bottom