Wakenya! Wakenya!.... Naona sasa hadi Darassa mnataka awe wenu!

df94a1b9f845c60d91e1c078d70300fc.jpg
Duh! Kweli hawa jamaa wana chuki binafsi eti niliudhika kusikia ni MTZ
 
Ameandika I thought the guy is Kenyan.. kwa Tafsiri ya Kiswahili Amemaanisha "ALIFIKIRIA KWAMBA JAMAA NI MKENYA" kumbe ni MTz so Hakupenda Jamaa kuwa Mtz....
Sasa hiyo haionyeshi kwamba alikuwa anataka awe wao?
 
Wakenya hawakuji kujibu tuhuma hizi sababu ako busy na kiingreza iz iko manino mingi kama nyrere sijui aliroga yeye kupitia muenge
 
Brand New Video FreeStyle Kutoka Kwa Msanii Ambaye Yupo Chini Ya CMG Label Ya Darassa.. Toa Mawazo Yako Darassa Amepatia KuSign Na Huyu Dogo Au?

IMG_20210306_145052_338.jpg
 
Back
Top Bottom