mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,837
- 8,221
Shirika la reli la Kenya lilokuwa linaendeshwa chini ya kampuni ya Afrika Kusini imeingizwa mkenge baada ya mtu mmoja mwakilishi wa kampuni iliyokuwa inaendesha hilo shirika kujimilikisha hisa kibao buure na hizo hisa kuwauzia waarabu wa Egypt,hivi sasa kampuni moja ya Kenya iliyo na hisa na yenye ushawishi mkubwa wa kisiasa nchini Kenya(wenye hisa katika hiyo kampuni wote ni Wakikuyu)kuanza kampeni kabambe ya kutaka kurudisha shirika hilo mikononi mwa Wakenya,pia katika shirika hilo kuna Kampuni ya Kitanzania yenye hisa nayo inaitwa Mirambo Holdings,sijui ni Watanzania gani wanamiliki hiyo kampuni ya Mirambo Holdings.
Ujuaji wote wa "Tunajivunia Kenya Yetu"umeingizwa mjini na Msouth,we acha tu teh teh teh tena bila kutoa hata shilingi moja
Ujuaji wote wa "Tunajivunia Kenya Yetu"umeingizwa mjini na Msouth,we acha tu teh teh teh tena bila kutoa hata shilingi moja