Wakenya Waiba Shs. 338.9 milioni mali ya mwajiri wao Barclays Bank. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakenya Waiba Shs. 338.9 milioni mali ya mwajiri wao Barclays Bank.

Discussion in 'International Forum' started by The Quonquerer, Jul 27, 2010.

 1. The Quonquerer

  The Quonquerer JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wakenya Godwin Wasonga Paulla na Joseph Kaplamai Rutto walifikishwa mbele ya mahakama ya Kisutu jijini Dar Es Salaam jana wakiwa wameficha sura zao kwa tuhuma za wizi wa kiasi hicho cha fedha na kujibu mashitaka kumi dhidi yao. Wanadaiwa kushirikiana na watu wengine katika kufanya uhalifu huo.

  My take: Je haya ndiyo matunda ya integration tunayoyahitaji, si kwamba wanakuja kudhulumu kazi za wenyeji, lakini pia ku-instill culture ya wizi kwenye jamii ya wenyeji, halafu eti ni aggressive na wamesoma sana kama wanavyodai Nomasana na Smatta..we better do without. We don't need these thugs. Nyaralego, RealDeal and co, do you hear me?
   
 2. bona

  bona JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  na huu ni mwanzo tu, wmesoma kivipi? wamesoma au wanadegree nyingin? kua na degree nyingi sio kigezo cha kusoma, ukiangalia ktk vyuo vyao ni kimoja tu ndio kiko juu ktk rank za ubora, sasa kama wana degree nyingi kama za islamic university hapa kwetu utawaita wamesoma? kusoma kwao si kureflect na maendeleo ktk nchi yao? mbona ndio ktk east africa ni nchi pekee yenye njaa ya kutisha hadi wanakuja tz kuiba mahindi na ng'ombe kule tarime tena wanakuja kuiba grains wakitumia silaha za kivita kama AK 47's, bora tuwe hatujasoma na tuwe proud lakini hatuna njaa hata za kula ugali, hatuvuki mipaka yetu kwenda nchi jirani kuiba ng'ombe, hatuendi nchi za watu ku rob bank na kama hawa hadi waajiri wao wanawaibia! they are peoples with no manners! we should not even get close to these people, they are so immorals.
   
 3. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  :A S angry:
   
 4. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Wajinga ndio waliwao... Hustle by any means
   
 5. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Waajiri nchini Tanzania wanatakiwa kuwa macho sana hasa na raia wa Kenya wanaokuja kuomba kazi.Nina mifano kibao jinsi raia wa Kenya wanaofanyakazi Tanzania walivyowaliza waajiri.Ni maajabu makubwa kuona bank kubwa kama Barclays Bank inakimbilia kuajiri wakenya na kuacha kuajiri vijana wa Ktz kwa visingizio vya kijinga.Kwanza nimefurahi sana Barclays walivyolizwa pia ningependa vyombo vyetu vya dola kuwapa taadhari waajiri wote kuachakukimbilia kuajiri raia wa Kenya ambao wanatabia ya udokozi kupitiliza.
   
 6. The Quonquerer

  The Quonquerer JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mwizi mwingine kutoka Kenya huyu hapa JF, anatanua tu. Vyombo vya dola mko wapi? Sasa aliyeliwa nani? Unadhani kufungwa ni kula? Labda wahonge, na mpaka waje watoke askari wa bongo watakuwa wamelamba zote, na mwisho itabidi watembee kwa mguu mpaka Namanga border. Au kama kawaida mnaanza na mambo yenu ya AK-47?
   
 7. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  They are the best, they can speak loud and clear to your president Jakaya wa Mrisho wa Kikwete and there is nothing you can do about it au sivyo smatta? Karibuni mabibi na mabwana katika gharika ya utitiri na utajiri ambao wenyewe wanasema hamuwezi kuutumia.

  My take kwanza Barclays waliwaajiri vipi? Je, walikuwa na vibali halali vya kufanya kazi? Idara ya uhamiaji na wizara ya kazi na ustawi wa jamii wanaweza kuthibitisha kwamba wageni wote wanaofanya kazi Barclays Bank na benki nyingine zote wana vibali halali vya kufanya kazi? Je wamekwisha anza kufuatilia kwa karibu swala hili?
   
 8. The Quonquerer

  The Quonquerer JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Na kwamba kazi hizo za u-teller au umeneja hakuna watanzania wanaoweza kuzifanya? Kwani faida ya kazi za uwekezaji ni kwa ajili ya nani? Wageni? wageni hao hao watutumie kama soko, na kuvuna riba na kazi wachukue makuwadi wao wa kigeni? Hii ni dharau kubwa kwa wananchi wa Jamhuri ya Muungano! Hiyo Wizara na Idara ya uhamiaji nadhani kazi yao ni kula rushwa tu!
   
 9. k

  kirongaya Member

  #9
  Jul 27, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo we bonya na udini wako islamic university nazo zinatoa degree ambazo hazina maana au siyo.mada hapo wageni wanaofanya kazi hapa kwetu bila kuwa na vibali ndio mara nyingi wanakua source ya matatizo kama inavyojionyesha sababu kubwa nayo hawa wenzeti kwao vitu hivi ni kawaida na wanamazoea navyo sana,tatizo ujanja mwingi sana changia na shule zao pia kubali usikubali ndio hali halisi. Hawa watu wanakuja na mbinu mpya za uwizi kila kukicha
   
 10. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2010
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,043
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Hivi Watanzania hawaibi? nisichopenda ni kule kusema kuwa they are better employees than Tanzanians, thats not true.
   
 11. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Ninapoona matukio haya, mimi ninafurahi sana. Ili waajiri wakome. Wakenya wengi wanaokuja Bongo degree zao wamezipata kutoka www.instantdegrees.com
   
 12. The Quonquerer

  The Quonquerer JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu watanzania wanaiba pia. A thorny issue is that, we didn't expect it that, or whatsover from the people who claim to be the messiahs, kwamba wamekuja kuwa role model ya utalaam hapa TZ. Kimsingi, hakuna wanachokuja kufanya zaidi ya wizi!
   
 13. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Bona mbona hueleweki na unachanganya mno!.Nini kitakachotujulisha kwamba wewe nawe umesoma kweli?.
  Mbona unaonekana ni mwenye wivu sana na mchochezi.Degree za Islamic University hapo kwenu ni nyingi kiasi gani ukilinganisha na nani?.Hivi hujui kwamba Tanzania ndio inayoongoza kwa wizi Duniani.Hata maraisi na mawaziri wao huwaibia raia zao kimacho macho.Jee hilo umewahi kulisikia Kenya kwa kiwango hicho.
  Watanzania wenyewe wanaonesha kiwango kikubwa cha kuwa ni wajinga kuliko wakenya.Hivyo wakenya wanaoshutumiwa kwa wizi kama ni kweli huenda waliona dalili nzuri ya kufanikiwa kutokana na historia ya ujinga ya watanzania wanaoibiwa na hata maraisi wao.
   
 14. RealDeal

  RealDeal JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 297
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na wewe kwani mjinga uamini kuna Messiah hii dunia??
   
 15. The Quonquerer

  The Quonquerer JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wewe hujui Kiswahili, andika kikalenjin au kiluo, hakuna mteja wa biashara yako. Usingekuwa punguani, ungeona kuwa ile statement imekuwa negated tayari, tatizo la kuishia form 4 na kusoma degrre za voda fasta kunawasumbua. Tunajua unachouza, hayo mashimo ni mengi hapa kwetu. Tunahitaji wabia wa maana, siyo ma-survivor, wakimbizi wa njaa kama ninyi. Msiokuwa na mbele wala nyuma..
   
 16. The Quonquerer

  The Quonquerer JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni kweli na watanzania wanaiba, ila wizi wa wakenya ni mkubwa na wameanza zamani mpaka marais wao wamekomba mpaka ardhi, mzigo unabakia kwa watanzania kuhifadhi the homeless, landless na kuwapa ajira ambazo hawastahili kwa wao kushirikiana na wala rushwa na mtandao wao kwa kujuana.
   
 17. RealDeal

  RealDeal JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 297
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Okey then i see your prowess.
   
 18. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Huyu Joseph Rutto ungebahatika kukutana naye pale Serena Hotels head office ndo ungejua watu wana kinyaa cha watu wengine. Jmaa alikuwa anakuangalia kuanzia juu mpaka chini. Omba Mungu ukute una claims za maelfu ya dola sio tudola mia mbili sijui mia! Alikuwa dharau ile mbaya. Alikuwa anajiona kuwa yeye ndiye bora zaidi pale. Serena wakipata accountant mwingine akawafanyia investigation ya mahesabu yao watammeza Rutto!
   
 19. K

  Koba JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  debating with ****** like kanyabonya & wacha1 is just a waste of time,wizi ni mbaya no matter what lakini their arguments is like they are still living in stone age,sad sad sad kuwa na ****** like these fools in our society na wanajiita wasomi na tena ni public servants...Tanzania will never move ahead kama majority of their citizens ni likes of kanyabonya,mungu atusaidie.
   
 20. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Nilishasema mara nyingi kwamba these nyang'au have nothing to offer to our economy, na sasa tunaona matunda yake.
   
Loading...