Wakenya wahaha kuajiriwa kufundisha kiswahili SA

Ngoja nikufahamishe kitu usichokijua Wakenya na Waganda ndio wanaongoza kwa kuwa na shule binafsi SA wao waliamka kitambo kuhusu kujipatia kipato kupitia Elimu...
 
Asante makufuli kuwawahi wakenya huko SA,wanahaha Kuajiriwa kufundisha Kiswahili lakini department ya education imeamua TANZANIA ndio itatoa waalimu,,poleni wakenya

Hamna mwenye hakimiliki au hatimiliki ya lugha ya Kiswahili

Kama wanataka kuishughulikia fursa waishughulikie tu ili wahusika wa bongo ziwakae vizuri kichwani
 
Wezi hao
tapatalk_1560276169105.jpeg
 
Ngoja nikufahamishe kitu usichokijua Wakenya na Waganda ndio wanaongoza kwa kuwa na shule binafsi SA wao waliamka kitambo kuhusu kujipatia kipato kupitia Elimu...
Nitajie kwa uchache 5 tu, usikute ni story za chuo cha boss lady unaleta huku?
 
Hamna mwenye hakimiliki au hatimiliki ya lugha ya Kiswahili

Kama wanataka kuishughulikia fursa waishughulikie tu ili wahusika wa bongo ziwakae vizuri kichwani
Kiswahili ni lugha yetu Wabongo na ndo wenye Hati miliki,Kamusi ya Kiswahili sanifu, Imeandikwa Kenya au Tanzania?. Hivi km Kilatini au Kigiriki utasemaje Hakuna mwenye Hati miliki hayupo wakati hata Kamusi yupo aliyeitengeneza?, na asili ya maneno pia ni ya sehemu Fulani?.
 
Wakenya wanastahili kupewa pongeza. Wengi wao wapo so sharp kukimbizana na fursa popote zilipo ukilinganisha na sisi wabongo.
 
Hii ni hatari Serikali ya Tz inabidi iangalie kwa jicho la umakini sn..uyu jamaa hapatikane..kama mm ni mtaalam wa history na Diplomasia..najaribu kuangalia visa ama choko choko (kama cheche) zilizo leta adhali kubwa mpaka kupelekea vita kubwa..just try to figure out..the courses of first world war..assassination of Ach.Ferdinand..mtoto wa mfalme alikua nanasoma nchi jirani akauwawa ikawa ndio moto mkubwa baada wa Chechen tu za vita
Angalia vita ya Iddi amin na Tz sio Uganda na tz aahh ni tz na Idd amin nduli wananchi wa uganda walichoka utesaji utekaji wandugu zao wakawa upande wa tz wakamsaidia tz kumtoa nduli kilaini
Si maanishi sisi na kenya tuna bifu apana hawa ni ndugu tena ndugu haswaa
Lkn mambo mengi yamepita hapo nyuma mara kuku zao kuchomwa bila uruma..mara ngombe..mara biashara ya maziwa hairuhusiwi sasa ivijuzi tumeshudia mbuge wao akiongea bila kificho, namwingine mbunge bungeni akinyoosha maelezo..sasa reflection ni kwenye match ya taifa stars na harambee asilimia kubwa ya watiz kushabikia harambee reference kwenye media watz wakicomment kua ile ni timu ya ccm..sasa hili lililo tokea linaleta picha mbaya saana
 
Back
Top Bottom