Mashindano yetu na wakenya katika uchumi hayo. Ongezea https://africanbusinessmagazine.com/sectors/infrastructure/kenya-vs-tanzania-a-tale-of-two-railways/Asante makufuli kuwawahi wakenya huko SA,wanahaha Kuajiriwa kufundisha Kiswahili lakini department ya education imeamua TANZANIA ndio itatoa waalimu,,poleni wakenya
Asante makufuli kuwawahi wakenya huko SA,wanahaha Kuajiriwa kufundisha Kiswahili lakini department ya education imeamua TANZANIA ndio itatoa waalimu,,poleni wakenya
Huyo ni njaa tu sio mwizi
Shaur yake aje tule hapaHuyo ni njaa tu sio mwizi
Nitajie kwa uchache 5 tu, usikute ni story za chuo cha boss lady unaleta huku?Ngoja nikufahamishe kitu usichokijua Wakenya na Waganda ndio wanaongoza kwa kuwa na shule binafsi SA wao waliamka kitambo kuhusu kujipatia kipato kupitia Elimu...
Kiswahili ni lugha yetu Wabongo na ndo wenye Hati miliki,Kamusi ya Kiswahili sanifu, Imeandikwa Kenya au Tanzania?. Hivi km Kilatini au Kigiriki utasemaje Hakuna mwenye Hati miliki hayupo wakati hata Kamusi yupo aliyeitengeneza?, na asili ya maneno pia ni ya sehemu Fulani?.Hamna mwenye hakimiliki au hatimiliki ya lugha ya Kiswahili
Kama wanataka kuishughulikia fursa waishughulikie tu ili wahusika wa bongo ziwakae vizuri kichwani