wakenya wafurika Arusha kwa X-mass!

Simchezo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
443
344
Almost kwa siku tatu sasa naona Wakenya wakiingia Arusha kwa magari yao binafsi kusherehekea krismas, nafikiri wengi wao hawana imani na usalama wa nairobi. Karibuni sana majirani zetu, mjisikie home!!
 
All most kwa siku tatu sasa naona Wakenya wakiingia Arusha kwa magari yao binafsi kusherehekea krismas, nafikiri wengi wao hawana imani na usalama wa nairobi. Karibuni sana majirani zetu, mjisikie home!!
Ndugu yangu magari siyo ishu kujua ni wakenya...wachagga wengi sana wana biashara zao nairobi so kipindi cha sikukuu ni kawaida sana kuona magari yenye namba za kenya moshi na arusha..
 
Ndugu yangu magari siyo ishu kujua ni wakenya...wachagga wengi sana wana biashara zao nairobi so kipindi cha sikukuu ni kawaida sana kuona magari yenye namba za kenya moshi na arusha..

Ukiwa pale Mtukura haukawii kuona ngoma zinatokea kwa basaija ba Kampara kuingia town,hakika maeneo ya mipaka kunachangamka sana mida hii
 
Hawakawii kuchukua kadi za chama chao hao. kumbe hawa machalii wametapakaa hivi!!!!!
 
Ila kipindi hii sasa ukitaka kufarhisha macho mpaka moyo usuuzike fika arusha moshi ndio utatambua uzuri wa watoto wakitanzania! Hehehe! Yani huwa napenda kukaa tu mitaa flani flani huku nikifurahia uumbaji wa Muumba na jinsi mabinti wanavyokatiza.
 
they were exciting times when I grew up na kwenda sikukuu home. Yani kila nyumba jirani ina vimodo hehe! Damn am getting nostalgia!
 
Ndugu yangu magari siyo ishu kujua ni wakenya...wachagga wengi sana wana biashara zao nairobi so kipindi cha sikukuu ni kawaida sana kuona magari yenye namba za kenya moshi na arusha..

Mwambie huyo hata huku Nairobi sasa hivi gari zenye no za TZ zimejaa kibao lakini sidhani kama ni Wa TZ wamekuja kula sikukuu nadhani ni Wakenya wafanyao kazi Bongo wamerudi kwao
 
Let them inn.. Ila dharau zao (baadhi) za kipuuzi ziishie pale namanga upande wao..

We are brotherz and sisterz!
 
All most kwa siku tatu sasa naona Wakenya wakiingia Arusha kwa magari yao binafsi kusherehekea krismas, nafikiri wengi wao hawana imani na usalama wa nairobi. Karibuni sana majirani zetu, mjisikie home!!

tumekuja kuhesabiwa...!!!
 
Mwambie huyo hata huku Nairobi sasa hivi gari zenye no za TZ zimejaa kibao lakini sidhani kama ni Wa TZ wamekuja kula sikukuu nadhani ni Wakenya wafanyao kazi Bongo wamerudi kwao

Hatuna namba za hivyo.. unadanganya au lah soma tena..
unaonekana ulikuja tz lyk 15 yrz ago.
 
sio lazima wawe wakenya, na pia wakiwa wakenya ni jambo la kujivunia kwamba arusha inavutia for christmas

tuache negativity kwenye kila kitu, ndio maana tunadumaa kuanzia miili, akili, uwezo na hata maendeleo
 
Wachagga wametapakaa kila mahali jamani....Nairobi soon itatekwa na Wachagga....

Tuacheni wenye nchi turudi kwenye ardhi yetu kama wana wa Izreaeli...
 
Ni wameru na Wachaga hao wanarudi nyumbani kwa ajili ya sensa. Wanaishi Nairobi full biashara wale jamaa!!!!!
 
Ila kipindi hii sasa ukitaka kufarhisha macho mpaka moyo usuuzike fika arusha moshi ndio utatambua uzuri wa watoto wakitanzania! Hehehe! Yani huwa napenda kukaa tu mitaa flani flani huku nikifurahia uumbaji wa Muumba na jinsi mabinti wanavyokatiza.

ebana eee....!
 
Waacheni waje hata wakenya,sisi ni baba zao ndomana Nyerere alitoa Randrover ya TANU ikasaidie harakati zao za kupata uhuru ingawa wanaleta kiburi.
 
Arusha is a nice place to spend for the holiday no one can deny that. Let them com
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom