Wakenya waanza ukulima wa maua Rwanda kwa kishindo

Heko Kenya!!

Waswahili tuna maneno ya kejeli yaani kila kitu ni kudiss tu hamna criticism ambayo ni constructive zote zimejaa wivu, husda na kijicho.

Hapa ndio namkumbuka mwl nyerere alisisitiza na kufundisha kwamba Afrika ni moja na waafrika wote ni ndugu zangu regardless their location, ages, tribe, colour e.t.c naona hiyo sense inapotea kwa kasi saana Africa.
Hakuna mwenye wivu hapo, maana hata sisi tunafanya mengi tu yenye tija bila kufanya mayowe mob mitandaoni.
Tatizo ni pale jamaa wanapoleta habari zao humu kama kutambishia as if we give shit on it.
Fuatilia nzuzi zao humu. Haya majamaa ni brainless enlarged heads.
 
The inferiority complexed posed by some tanzanians here will suprise you no wonder most of you dont go far


Just dont look far lets start with sports in Africa

South africa is the sport powerhouse followed by Kenya Egypt and Mostly north africa ethiopia comes close for running

Rugby for instance
In SA rugby is all white
In Namibia its the same

Kenya is the only African Black team in IRB circuit

Cricket too, Hockey too Skating too Kenya is the only African country that went for the Volleyball world cup

A kenyan is the only black person Employed as President in The USA flowers ni nini sasa??

Mkenya ameunda a 300mt building in Nairobi what will a greenhouse and A seed do now

MiTZ inferiority complex yashangaza

No wonder
Kenya is 1/2 the size of TZ
3/4 desert
40mn population
With troops at war but somehow

Kenya has 70bn$ economy
Tanzania has 46bn$

Kenya Revenue authority collected 19bn$ in Tax and Read out a 23bn$ budget

Mtakaa hapo mkijishuku hamwezi chochote

Huku nchinzingine zikipaa Rwanda hii mnaiona inawaacha ikifika 20bn$ All rwandans would be richer per capita than Tanzanians Rwanda is 60,000km2

Tanzania is 945,000km2
Kenya is 508,000km2

Kaeni hapo inferiority complex just know

Nigeria Built its own satelite and sent it to space
Libya to Operates a pan african worldwide satelite

South african military produced its own weapons for about 20yrs Helicopters Tanks and Guns everything

Africa spends as much as Russia on its military

Africas GDP = Rssia

Kaeni hapo mkijishuku hamuez

Kesho mtaskia a kenyan billionaire has decided to start producing his own jets mtapinga Lakini itafanyika Tayari Kenya Nuclear Deal isha andaliwa


Kenya airforce inataka kununua F16 jets

Mkijiamini mtaenda mbali laa sivyo mtabaki tu bongo lala
 
I find it hard to believe that a black person would talk of another with such contempt! I seriously hope wewe ni mzungu, mwarabu or just something in the mix.....

Hahahaa... Maybe he has a tail.... If
Hakuna mwenye wivu hapo, maana hata sisi tunafanya mengi tu yenye tija bila kufanya mayowe mob mitandaoni.
Tatizo ni pale jamaa wanapoleta habari zao humu kama kutambishia as if we give shit on it.
Fuatilia nzuzi zao humu. Haya majamaa ni brainless enlarged heads.

Hiyo sasa imekuwa kama Chorus my friend. "Tunafanya mengi lakini hatupigi mayowe"...... huuuh! It's a boring phrase now....
 
Hamna kitu nyie, njaa na funza na umaskini wa kufa mtu,

Acha ushenzi jamaa... Hiyo funza na njaa unayosema iko Danganyika pia... kuongezea Ujinga, uzembe, uoga na fitna ya vijiweni inawaumiza tu. Hamna kipya hapo.. Tushawazoea. Kama wenda wazimu hivi....
Roundup: Panic as jiggers hit southwestern Tanzanian villages - China.org.cn
Backpacker's horror after flea and hundreds of eggs burst out of his FOOT after trip to Tanzania | Daily Mail Online

Ujinga utaacha
Hunger in Tanzania - The Borgen Project
 
Tungekua wazembe na wasiokua na elimu haka kainchi ketu kadogo kasiokua na raslimali ambapo nusu yake ni kame tupu hakangetawala ukanda wote wa Afrika Mashariki na Kati.

Mnamtawala nani hasa? Huko Migingo ndugu zenu wako chini ya Jeshi la Uganda.
 
Acha blah blah nionyeshe Shamba la Maua la black Kenyan!
1481135465182.jpg
hili hapa shamba!
 
Wabongo tuache unafiki na kuficha vichwa mchangani kama mbuni, Tanzania, Rwanda, kenya na Uganda kuna vitu tunatofautiana ni vizuri tukajifunze kuliko kuponda wakati hauna, rais mwenyewe alisema kwamba kenya ni number two kwa kuwa na investments hapa nchini hiki si kitu kidogo,labda tujiulize sisi tumeinvest nini na kiasi gani kenya.
Juzi nimekutana na jamaa wa brookside pale tra wakilalamika wamezuiwa kuleta bidhaa zao tangu waliposhusha bei za bidhaa zao toka Kenya ,na jaribu kufikiri huu ni utaratibu gani na una manufaa gani hasa kwa nchi.
Nadhani tunakoelekea tuwe na mambo tunayoyafanya na kujipima kama tumefanikiwa kabla ya kurukia jambo lengine otherwise tunaweza jikuta tunarudi nyuma huku tukiamini tuko sawa sawa.
 
Baada ya kumaliza mashamba yenu mmehamia Rwanda kwenda kumaliza yao?
 
Back
Top Bottom