Wakenya waanza kumiminika Tanzania kwa kasi

Wanaendaga sana.. sizani kama kuna mkenya ambae anakipato cha maana hajawahi sogea Arusha kubarizi. Kama kungekua na train ya Nai-Arusha ingekua inajaza sana kipindi hiki na kipindi cha uchaguzi wao, huwa wanazuga kuja kula bata kumbe wana kimbia kuchinjana
But how stupid are you really, ati kuchinjana
 
Great.So who has the money Now?Will you get any Tzedians coming for holiday ama ni wale kina mama wa Changome wanakuja kushoot video KICC
Hahahahahahaha, tunapokea influx kutoka Burundi, Rwanda, DRC, Uganda and Zambia as well. Tanzania ni nchi ya maziwa na asali, the same thing happens between USA and its neighbors, all are going to USA.
 
Great.So who has the money Now?Will you get any Tzedians coming for holiday ama ni wale kina mama wa Changome wanakuja kushoot video KICC

Mothing impressive there, halafu watz wengi hurudi ushango holidays kula sharehe na wazazi wetu..
 
Great.So who has the money Now?Will you get any Tzedians coming for holiday ama ni wale kina mama wa Changome wanakuja kushoot video KICC

Halafu uache majungu bwana mdogo govi Depay, njoo bongo nikuunganishe na mtoto mkare, uachane na mchezo wa mbuzi na master-betting.
 
Kelele za kujifurahisha tu, but each and every one knows his/her position in EAC, ndio sababu uncle Magu akipiga mnada ng'ombe wanatulia kimya.
Kumbe kelele mobu humu mnajua where to go when it comes to BATA, Bata Mrefu, mixa Hot Whore around you, Imagine....
Karibuni Arusha tusharekee Mavuno!
 
Mt Meru the majestic and second tallest mountain in Tanzania surrounded by the beautiful breathtaking Arusha national Park, the forth or fifth tallest mountain in Africa, once tallest than Kilimanjaro before volcanic eruption.

Singida the central region close to Dodoma famous by plenty of its cheap sweet organic chickens, sunflowers, parks and beautiful scenery but moreover a lot of beautiful and sexy chics you can't find in Kenya.
we bonga tu chafu hata Mimi nitaku dar from 23 lazima tuje ndio mtajirike.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Kumbe kelele mobu humu mnajua where to go when it comes to BATA, Bata Mrefu, mixa Hot Whore around you, Imagine....
Karibuni Arusha tusharekee Mavuno!
Heheh ya mitandaoni tu hayo, R-chuga patamuuu , tripple A apo na babylonia ndo huwaga tunajirushaa na watoto laini laini, .... nina frnds wengi nmesoma nao chuo wa A town, huwaga ninatulia kwao huko sakina kisha narudi nairobee
 
Wanaendaga sana.. sizani kama kuna mkenya ambae anakipato cha maana hajawahi sogea Arusha kubarizi. Kama kungekua na train ya Nai-Arusha ingekua inajaza sana kipindi hiki na kipindi cha uchaguzi wao, huwa wanazuga kuja kula bata kumbe wana kimbia kuchinjana

Hahahah
 
Heheh ya mitandaoni tu hayo, R-chuga patamuuu , tripple A apo na babylonia ndo huwaga tunajirushaa na watoto laini laini, .... nina frnds wengi nmesoma nao chuo wa A town, huwaga ninatulia kwao huko sakina kisha narudi nairobee
mimi natulianga njiro nikiwa A-town, weekends niko Club D ama some joint ya expatriates around
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom