Civil society occupaying parliament kulaani wabunge kujiongezea mishahara kwa sasa wanalipwa one million na point ksh kama m20 ya tsh per month
live ntv
Hapo kwenye bold, umeongea kishabiki zaidi, ukiona mwenzako ananyolewa, na wewe tia kichwa maji, kwa mwenendo wetu wa ndioooooooo usije shangaa tukaishia pabaya zaidi, usichokijua ni kwamba wetu wana njia zao za kujilipa sasa ya nini kuhangaika ...hushangai kila siku majengo yanaporomoshwa ukiulizia ya nani majibu unayo tayari....Shauri zao sisi wenzao (TZ) tunapiga hatua kubwa ya kimaendeleo kwa kuwekeza kwenye Technolojia , waache wakalie Demokrasia, demokrasia ushenzi mtupu, sisi kwetu Amri moja tu, toka juu inashuka chini na hakuna kupingwa hapo kati kati , ndio maana tunafanya mambo makubwa tumewekeza kwenye Teknolojia, ona hapa! Tanelec Limited
Hapo kwenye bold, umeongea kishabiki zaidi, ukiona mwenzako ananyolewa, na wewe tia kichwa maji, kwa mwenendo wetu wa ndioooooooo usije shangaa tukaishia pabaya zaidi, usichokijua ni kwamba wetu wana njia zao za kujilipa sasa ya nini kuhangaika ...hushangai kila siku majengo yanaporomoshwa ukiulizia ya nani majibu unayo tayari....
hawa viongozi wa Afrika sijuhi wanaumwa maradhi gani haya Mungu wangu,pesa yote hyo nchi inayoitwa LDC's