Wakenya: Tuwe makini! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakenya: Tuwe makini!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, Aug 15, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Kutokana na kauli ya mbunge wa ilala bungeni kuwa wakenya wameingia mkataba na china ili Wajenge bandari ya Mombasa iwe ya kimataifa kwa nia ya kuzuia meli zisije Tanzania imetushtua wengi.

  vilevile ameongezea eti wakenya wanatangaza dunia nzima kuwa meli zinakaa kwenye bandari yetu week mbili kwa nia ya kutuharibia soko,
  Wakenya wamekuwa wakitufanyia vitendo visivyofaa ikiwemo kujenga uwanja mkubwa wa ndege karibu na mbuga ya Serengeti ili wageni wawe wanashukia kwao moja kwa moja bila kutumia uwanja wetu wa KIA.

  Vilevile wanapandisha watalii mlima Kilimanjaro kwa kupitia kwa nyuma kitendo ambacho hakifai kwa sababu mlima Kilimanjaro ni wetu.

  Ndugu zangu wakenya sio wa kuchekea, tutavuna mabua, yetu macho!
   
 2. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Mlima Kilimanjaro uko Kenya, wacha utani.
   
 3. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #3
  Aug 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Kwani viongozi wetu wako wapi??....
  Kwa nini na wenyewe wasi buni njia na namna
  ya kuzuia haya mambo kama ni ya kweli...
   
 4. HOYANGA

  HOYANGA Senior Member

  #4
  Aug 16, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kama watu wamelala usingizi mi naona poa tu wacha wakenya wapige kazi!!!
   
 5. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kwa upande wangu naona ni sawa kwani watakapokuwa wamefanya wakenya huku kwetu ndio watastuka nao wataiga so tutapata maendeleo!Kenya Go!kenya
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  tusubiri mpaka tuone
   
Loading...