Wakenya tushukuru Mungu kwa demokrasia yetu, watani wetu wamebanwa hadi wanalia toshaaa, wanakiri kwamba nchi yao sasa imekuwa 'Police State'

Maoni yangu yepi yamesema hicho unaandika, i'm wasting me time, wewe endelea bothering youself abt Tz democracy, uchaguzi etc. There is nothing you can do or change, we dont need your sympathy, focus it kwa nchi yako yenye matatizo chungu nzima, insecurity, madeni, njaa, corruption etc

Sent using Jamii Forums mobile app
Jombaa, hata na wewe pia hauna ubavu wa kufanya lolote litakachonizuia kujadili au kuleta hoja yeyote hapa ambayo naona ni ya umuhimu kwangu. Iwe kuhusu Kenya, Tz Afghanistan au hata Madagascar.
 
Boss, hakuna atakayekuzuia kuleta takwimu zozote hapa ambazo zitakusaidia kujenga hoja yako.
Ngoja nikuletee bwana mdogo.

Siku nyingine nikikutuma kuleta vitu unaleta vitu vinavyoeleweka. Siyo kwenda kuniokotea kule kibera au mathare.
1554803999648.png

1066765
 
The political and economical cost is unbearable for the tyrannical marxist CCM if they were to give up power.political change and development in a previously authoritarian structure do involve risk(the greatest risk being for those whom authoritarianism has conferred monopoly of power).......once you begin to open up and reform the economies,to regenerate enterprice,to scrap regulations,to privatise industry,to curb inflation,to fight corruption,to use price to encourage farmers and food production,to welcome foreign investment,to invest in basic infrastructure...it leads to a more open economy and society.thats the greatest fear of CCM.devolving economic controls leaves less power at the center,fewer regulations and subsidies means less patronising and graft..this in itself dismantles economic controls and with it political repression....TZ will only make real progress wthout CCM dictorship..
 
Ngoja nikuletee bwana mdogo.

Siku nyingine nikikutuma kuleta vitu unaleta vitu vinavyoeleweka. Siyo kwenda kuniokotea kule kibera au mathare.
View attachment 1066765
View attachment 1066765
Hahaha! :D Sawa headboy wa Jf, ila hili bandiko lako sidhani kama limetupilia mbali hoja ya mashirika ya haki za kibinadamu na kidemokrasia Tz. Kwamba ukandamizaji wa wapinzani, kuminywa kwa demokrasia na haki za kisiasa za wananchi unaendelea Tz kwa kasi ya ajabu.
 
If you can't interprete and decipher that thematic map, you just ask for help.
 
The political and economical cost is unbearable for the tyrannical marxist CCM if they were to give up power.political change and development in a previously authoritarian structure do involve risk(the greatest risk being for those whom authoritarianism has conferred monopoly of power).......once you begin to open up and reform the economies,to regenerate enterprice,to scrap regulations,to privatise industry,to curb inflation,to fight corruption,to use price to encourage farmers and food production,to welcome foreign investment,to invest in basic infrastructure...it leads to a more open economy and society.thats the greatest fear of CCM.devolving economic controls leaves less power at the center,fewer regulations and subsidies means less patronising and graft..this in itself dismantles economic controls and with it political repression....TZ will only make real progress wthout CCM dictorship..

Ahaaa haaa haaa
So you want to tell us that Kenya is at that theoretical stage!!!?
 
Eliakeem.....kenyan democracy is eons ahead...you can't even start to compare with Tz...i don't understand why you Tanzanians like to benchmark whatever you do with kenya..its because we are the big brother,and you compare with us subconciously,but you will never admit that.......anyways here is the thing,political and economic freedom has a price,thats a fact,we kenyans have paid heavily for it..and this does not mean authoritarianism is the only answer to ethnic conflict within a society...no what is most significant is that these murderous hatreds can survive under the surface of many years of heavy-handed suppression by government...in the end,ethnic differences are likely to be solved,if they are soluble at all,only by people learning to live side by side in some form of tolerant pluralism(like in Tz).relative freedom may unleash ethnic violence like in kenya,but such divisions are in the long run(and it may be a very lon run) likely to be healed only within a free society,where people are obliged to face up their own duties toward one another as human beings...in kenya we may not be there but with time we are making progess.Tz bado mpo kwa shimo.
 
Ni kana kwamba demokrasia huliwa. Sisi watanzania hatubabaishwi na lolote. Haijalishi kama leadership tulio nayo ni autocratic. Tunalisha Africa nzima. Tuna miradi mingi kuliko nchi zote duniani. Hamna kiongozi afrika anayependwa kama rais wetu.most peace country in world. The only unite republican in universal.We ahead to Kenya.
Msituchezee nyie manyang'au we giants of Africa.
 
Maskini nchi yangu Tanzania, ona wale uliowafundisha democrasia wanavyokunanga sasa.
Nawashangaa watanzania wenzangu mnaopinga vitu ambavyo vipo dhahiri shahiri na ambavyo vinatutia aibu kimataifa.
 
Ni kana kwamba demokrasia huliwa. Sisi watanzania hatubabaishwi na lolote. Haijalishi kama leadership tulio nayo ni autocratic. Tunalisha Africa nzima. Tuna miradi mingi kuliko nchi zote duniani. Hamna kiongozi afrika anayependwa kama rais wetu.most peace country in world. The only unite republican in universal.We ahead to Kenya.
Msituchezee nyie manyang'au we giants of Africa.

Watanzania sijui tuna matatizo gani, kwahiyo hapa ndio umejibu hoja ya mleta mada. Kwa hali hii tutaendelea kuwa mikia miaka nenda rudi
 
Ni kana kwamba demokrasia huliwa. Sisi watanzania hatubabaishwi na lolote. Haijalishi kama leadership tulio nayo ni autocratic. Tunalisha Africa nzima. Tuna miradi mingi kuliko nchi zote duniani. Hamna kiongozi afrika anayependwa kama rais wetu.most peace country in world. The only unite republican in universal.We ahead to Kenya.
Msituchezee nyie manyang'au we giants of Africa.
Kuna wakati mwingine najiuliza kwanini inchi yangu ina watu wengi wa ajabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom