sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,028
Hali ya Tz kwa sasa, Ukaguzi wa gari unafanyika hapa hapa Tanzania na sio kufanyikia kwenye nchi unayoagizia gari kama japan.
sheria mpya ni kwamba gari halikaguliwi kwenye nchi linapotoka, linakaguliwa likifika hapa tz.
Sasa mimi nataka gari ikaguliwe huko huko japan, sitaki gari niliyoagiza ianze kufunguliwa na kuchokonolewa kwajili ya ukaguzi huko bandarini na mwisho wa siku baada ya kusubiri almost 1 month ya inspection nitumiwe bili kwamba nahitaji kulipia spea mpya na matengenezo ili gari likidhi viwango wakati zamani gari likikaguliwa huko japan kama ni bovu napewa option ya kuchagua gari nyingine au litatengenezwa huko huko bila mimi kugharamika.
Gari hizi ni used na nyingi zimevuka hata kilimota elf 70, probanility ya gari used kuwa na matatizo ni kubwa,ni kitu ambacho kinaongeza uhakika kwamba gari ikifika bandarini automatically haitafikia good standards, so itakubidi ulipie gharama za matengenezo ambayo inaweza kuwa bei mno na mbaya zaidi ukishindwa hizo gharama automatically inabidi tu ulitelekeze.
Kwa bureacracies hizi mtu ukiona gari inatumia mda mrefu kukaguliwa au ukianza kuhofia
gharama kubwa za matengenezo unaanza kupata idea chafu za kutoa kitu kidogo which is really bad
references: TBS mnaandaa mazingira ya rushwa ukaguzi wa magari?