Wakenya nahitaji maoni yenu kuhusu kauli hii; "Nitajenga viwanda vya nguo na Tanzania tutakuwa tunapeleka mitumba yetu Ulaya"- Ahadi ya Rais JPM(2016)

Mbona hata nyie kenyata amewadanganya sana.
kila mwanasiasa ni MUONGO.
Screenshot_20200201-130025.jpg


Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Ila wazungu kwa figisu wako vzr sana aisee, EAC ilielewana kupiga marufuku nguo na viatu vya mitumba naona baadae ikabidi kua wapole tu maana US alipiga bonge moja la mkwara kwa yoyote yule atakayezuia nguo za mitumba kuuzwa nchini kwake, maana mitumba imeajiri wamarekani 40,000 huko Kwao.

Kuna nchi hapa EA yenyewe iliendelea kukataa mitumba kutoka US ikapewa adhabu ya 'No duty-free access to the American market',naona members wengine wa EAC ikabidi kua wapole tu.

Mabeberu hua yana fitna sana aisee.
This is Neo-colonialism. A perfect example of how the western countries would rather have Africa as dumping ground rather than use OUR raw materials to grow our industries. Sababu ya hio mkulima wa pamba aliye Mwanza, Busoga au Nyanza ataendelea kuumia!
 
This is Neo-colonialism. A perfect example of how the western countries would rather have Africa as dumping ground rather than use OUR raw materials to grow our industries. Sababu ya hio mkulima wa pamba aliye Mwanza, Busoga au Nyanza ataendelea kuumia!
I hope hujafufua uzi huu wa mwaka uliopita kwa nia mbaya jombaa. Jirani zetu wamepatwa na msiba, huu sio wakati wa majibizano.
 
Kwan na nyie zile IPAD mlizo aidiwa watapatiwa watoto wenu kwa school walishapatiwa ? Au zile stadium.mlizo aidiwa mshajengewa ? And the gay is about to leave the state house soon ! While magufuli still has five years again ...
Mbona tusi tena kwa wakubwa?
 
Back
Top Bottom