Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,263
- 3,627
Yaani wewe ulilitendea darasa haki kabisaaa hakuna ubishi bila shaka umesoma kwa kiwango cha juu!!! unajua hawa wengine tunaongea na vilaza sijui wa drs la nne hukooo!! au walitoroka shule kabisaaa!!! baada ya kujua kusoma na kuandika tu akaona hkn haja ya shule! ndo km hawa!!Mbona nikawaida, hata kiingereza cha uingereza kusini na kaskazini, irish, australia, amerika, naijeria vyote vinatofautiana.
Ukifuatilia lugha utajua kuwa hilo nijambo la kawaida katika lugha.
Kwaio chukulia kawaida, lamsingi kuelewana.
Kiswahili tu cha bara, pwani na visiwani sio sawa. Vinautofauti na misamiati mingi sana, chunguza ilo kisha utaelewa haina haja ya kumwambia mkenya lolote ila kujua namna ya kuelewana