Wakenya mnatuharibia Kiswahili

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
4,658
2,000
Mbona nikawaida, hata kiingereza cha uingereza kusini na kaskazini, irish, australia, amerika, naijeria vyote vinatofautiana.

Ukifuatilia lugha utajua kuwa hilo nijambo la kawaida katika lugha.

Kwaio chukulia kawaida, lamsingi kuelewana.

Kiswahili tu cha bara, pwani na visiwani sio sawa. Vinautofauti na misamiati mingi sana, chunguza ilo kisha utaelewa haina haja ya kumwambia mkenya lolote ila kujua namna ya kuelewana
Yaani wewe ulilitendea darasa haki kabisaaa hakuna ubishi bila shaka umesoma kwa kiwango cha juu!!! unajua hawa wengine tunaongea na vilaza sijui wa drs la nne hukooo!! au walitoroka shule kabisaaa!!! baada ya kujua kusoma na kuandika tu akaona hkn haja ya shule! ndo km hawa!!
 

Deeplowmatt

Member
Aug 11, 2021
52
125
Hata mleta Mada hujui Kiswahili mfano ''mpaka kuonekana'' siyo kiswahili fasaha! Tamatahali za semi hujui hata moja, jazanda na sitiara za kiswahili kwako ni mweupe ila unanyooshea Kidole wenyeji wa Nairobi, wala siyo wakenya wote, Nenda Mombasa ukutane na rahaja za kiswahili zilizo tukuka!

Kwa Tanzania Nenda Mara sehemu km Tarime, Musoma vjijini utadhani siyo Tanzania, Nyumba ya Bati wanaita nyumba ya pati, tiricha=dirisha, DSM=taisarama, mswahili=mchwairi! wanajeshi=wanachesi, Bus= pasi mutukari

Ukienda usukumani ndo mamaaa! Rais wenu!

Angalia sasa gwaride la afande m-Zanzibar

''Gwaridee!! Mguu kati!! mguu kando!!! mguu kati mguu kando!!!

Bara geukiaaa!!! Pembaaa geukaa!!

Mwiliii Rejeshaa!!!! kuleni tanoo! Nilichoka kwa mbavu zangu.....
🤣🤣🤣🤣🤣
 

yellow eyes

JF-Expert Member
Mar 6, 2018
2,423
2,000
Shamba sana wewe!!! kiswahili siyo mali yenu pekee!! nyani nyie!!! ni mali ya wabantu wooote Africa na Ulaya mpaka Levant, mkitaka anzisheni kilugha chenu!!! muone km mtafwata ndo maana mnaitwa nyani kuumbe ni kweli!!

kaniingilie unashindwa nini kujua hapo nyie mnawaza chini tuuuu!! ndo maana hata kiingereza hamjui! neno simple sana eti si ukuje huelewi nini hapo sasa? unavoona tunakosea ndo ivoivo zanzibar wanaona mnakosea pia!! yani miafrica mnachekana. sijui mna nini??
Usitufokee nyau wewe!
 

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
4,658
2,000
Usitufokee nyau wewe!
Heee!! sasa ''nyau'' ndo kitu gani sasa? unaona msivyo jua hata kuandika kiswahili mnachodai ni Lugha yenu binafsi!! Maskini kwa asili mna majidai sana. unamaanisha nyau mnyama ungeanza na herufi kubwa Kama mie! Ngedere kabisa!

Mmekosa Hela, Maarifa, sasa mnakimbilia ki-Lugha, Soon mtasema na Oxygen yote ya Africa Mashariki ni Mali yenu! huwa naona km Wabongo wengi Dish! limeyumba hivi! ajili ya njaa kali! kwanza utaishije kwa Chai ya Rangi na vitumbua? eti Dish lisiyumbe?

Maneno meeengi!! sasa hapo nimetamka ki-Kenya tu km mtu ninae kula Ugali na kushiba eti unaona nafoka!! nikifoka je? Msione aibu karibuni Mle na kunywa bure!
 

Thebroker

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
1,303
2,000
Heee!! sasa ''nyau'' ndo kitu gani sasa? unaona msivyo jua hata kuandika kiswahili mnachodai ni Lugha yenu binafsi!! Maskini kwa asili mna majidai sana. unamaanisha nyau mnyama ungeanza na herufi kubwa Kama mie! Ngedere kabisa!

Mmekosa Hela, Maarifa, sasa mnakimbilia ki-Lugha, Soon mtasema na Oxygen yote ya Africa Mashariki ni Mali yenu! huwa naona km Wabongo wengi Dish! limeyumba hivi! ajili ya njaa kali! kwanza utaishije kwa Chai ya Rangi na vitumbua? eti Dish lisiyumbe?

Maneno meeengi!! sasa hapo nimetamka ki-Kenya tu km mtu ninae kula Ugali na kushiba eti unaona nafoka!! nikifoka je? Msione aibu karibuni Mle na kunywa bure!
Mko na dada watamu na sio wachoyo...!
 

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
4,658
2,000
Mko na dada watamu na sio wachoyo...!
Wadada zetu watamu ajili ya rishe bora!! wanapendwa ndani na Dunia nzima, upendo huanzia nyumbani kwao kenya! ebu angalia Maziwa bure, nyama choma nzuru! nzuri! bure, asali bure, nzige bure, Mana, bure Mungu anashusha tu! ktk nchi pekee iliyotajwa kwa Biblia!! sasa haya yoote wasiwe watamu kweli jamani??

nikuulize umewahi kuonja asali? sasa hamishia ule utamu chini!
 

Thebroker

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
1,303
2,000
Wadada zetu watamu ajili ya rishe bora!! wanapendwa ndani na Dunia nzima, upendo huanzia nyumbani kwao kenya! ebu angalia Maziwa bure, nyama choma nzuru! nzuri! bure, asali bure, nzige bure, Mana, bure Mungu anashusha tu! ktk nchi pekee iliyotajwa kwa Biblia!! sasa haya yoote wasiwe watamu kweli jamani??

nikuulize umewahi kuonja asali? sasa hamishia ule utamu chini!
Japo wapo na sura ngumu.
 

nduza

JF-Expert Member
Feb 7, 2019
1,439
2,000
Vituo vya Radio vya Tanzania vinatia kinyaa, ni makosa matupu unaona kero hata kuendelea kusikiliza. Kuna vipindi vyengine ndio vimezidi, watangazaji wake wabovu kwelikweli kwenye kuzungumza kiswahili ilimradi tuu anajuwa kusema basi na yeye ni mtangazaji.
Kiswahili ni mali yetu tunakijua vizuri tunakiongea tunavyotaka tuko huru nacho kwa sababu tunakiweza sana

Waganda wanajitahidi kuliko wakenya
kwenye kiswahili japo wanaongea kama wanasoma lakini kenya wanabadili kabisa maneno yanakuwa kitu kingine

nikiwa na hela ntawashitaki lugha wanayoongea isitambulike kama kiswahili waitafutie jina tusiharibiane lugha hapa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
4,658
2,000
Hivi kwanini msiongee English mnayoitambia tu kuliko kuongea Kiswahili mnachotuharibia sana katika matamshi
Heee! jamani tulitamba lini kuwa sisi ni Walugha lugha wa koloni?? waingereza? yelewiii .... kuliko waingereza wenyewe au? sasaa!! wapi? Nani? Nini? Lini? Kwanini? Muongo mkubwa na mnafiki weye!!! ....

hatujawahi kutamba kuwa sisi ni wajuvi wa Lugha ya mkoloni, isipokuwa wewe ni inferiorities complex zako zinakusumbua mwenyewe hasa ukiona wakenya wanavyo flow Lugha za waliokutawala Africa! na

kukuuza km mbuzi wa kafara kwa sababu tu! ya udhaifu ulio nao kuhusu Lugha za kigeni! udhaifu huo ndo umua rais wako kiivo!! si mkuje mjifunze huku bure au huna Nauli za kuja kupata shule huku maskini weye!!

kwa sababu sisi tuanajua Lugha ya adui yetu ndo maana hatudanganyiki kirahisi!! sasa nyie mnaumia!!sababu hamjui! wkt jembe letu moja huo nao ni udhaifu wa kishamba!! kwa hasira hizi hamtachomoka nakwambieni! ni ngumu!

Kiswahili ni Kibantu!! na sisi Kenya ni wabantu fika!! hata ufanyeje ndo ilivo!! kiswahili si mali ya Tanzania!! ...ni mali ya Wabantu! ukienda Congo, Northern zambia, Malawi, Zanzubar nk nao wanakuona wewe mbongo hujui km unavodhani sisi kenya hatujui!!

na hili ni tatizo la kuwa na Elimu haba ya Madrassa!! kasome tena chekechea mshamba weye...mbona hata hapo tanzania wengi hamjui kiswahili kabisaaaaaa!! tena kuliko wakenya!! kabila km wasukuma, waangaza, wahaya,wamakonde utacheka mpaka unye kenge wee!!

sasa neno km ''ntonto wa nkuu wa nkoa wa ntwala '' ndo nini sasa? bwana wewe uchiteme wala uchimungunye chomo!! ntwala ng'oko! ukichimama nchale ukikimbia nchale'' ndo nini sasa ..zile sabundi zangu ziko wapi!!! heroo! nchia iko wabhi!!......tabhuta iyo!! inaonekana hata nchi yako huijui vyema weye!!

bado kitoto cha sec. au wa primary kabisa!! rudi darasani kasome historia ya kiswahili ili ujue kwanza weye mwenyewe u,etoka shamba tu nikikuona kwa radar zangu! wazazi wako hawajui kiswahili uongo?....sema umetokea Mkoa gani nikunyambue sasa ivi.........
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom