Wakenya mnatuharibia Kiswahili

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
3,780
2,000
Hivi kwanini msiongee English mnayoitambia tu kuliko kuongea Kiswahili mnachotuharibia sana katika matamshi mpaka kuonekana mnatukana muda mwingine.

"NENDA KANIINGILIE"

"VENYE UKIKWENDA"

"SI UKUJE".

Nyi hata mke kwenu mnaita BIBI.
Shamba sana wewe!!! kiswahili siyo mali yenu pekee!! nyani nyie!!! ni mali ya wabantu wooote Africa na Ulaya mpaka Levant, mkitaka anzisheni kilugha chenu!!! muone km mtafwata ndo maana mnaitwa nyani kuumbe ni kweli!!

kaniingilie unashindwa nini kujua hapo nyie mnawaza chini tuuuu!! ndo maana hata kiingereza hamjui! neno simple sana eti si ukuje huelewi nini hapo sasa? unavoona tunakosea ndo ivoivo zanzibar wanaona mnakosea pia!! yani miafrica mnachekana. sijui mna nini??
 
Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
3,780
2,000
Mbona nikawaida, hata kiingereza cha uingereza kusini na kaskazini, irish, australia, amerika, naijeria vyote vinatofautiana.

Ukifuatilia lugha utajua kuwa hilo nijambo la kawaida katika lugha.

Kwaio chukulia kawaida, lamsingi kuelewana.

Kiswahili tu cha bara, pwani na visiwani sio sawa. Vinautofauti na misamiati mingi sana, chunguza ilo kisha utaelewa haina haja ya kumwambia mkenya lolote ila kujua namna ya kuelewana
Yaani wewe ulilitendea darasa haki kabisaaa hakuna ubishi bila shaka umesoma kwa kiwango cha juu!!! unajua hawa wengine tunaongea na vilaza sijui wa drs la nne hukooo!! au walitoroka shule kabisaaa!!! baada ya kujua kusoma na kuandika tu akaona hkn haja ya shule! ndo km hawa!!
 
Magangad8

Member
Aug 11, 2021
24
45
Hata mleta Mada hujui Kiswahili mfano ''mpaka kuonekana'' siyo kiswahili fasaha! Tamatahali za semi hujui hata moja, jazanda na sitiara za kiswahili kwako ni mweupe ila unanyooshea Kidole wenyeji wa Nairobi, wala siyo wakenya wote, Nenda Mombasa ukutane na rahaja za kiswahili zilizo tukuka!

Kwa Tanzania Nenda Mara sehemu km Tarime, Musoma vjijini utadhani siyo Tanzania, Nyumba ya Bati wanaita nyumba ya pati, tiricha=dirisha, DSM=taisarama, mswahili=mchwairi! wanajeshi=wanachesi, Bus= pasi mutukari

Ukienda usukumani ndo mamaaa! Rais wenu!

Angalia sasa gwaride la afande m-Zanzibar

''Gwaridee!! Mguu kati!! mguu kando!!! mguu kati mguu kando!!!

Bara geukiaaa!!! Pembaaa geukaa!!

Mwiliii Rejeshaa!!!! kuleni tanoo! Nilichoka kwa mbavu zangu.....
🤣🤣🤣🤣🤣
 
yellow eyes

JF-Expert Member
Mar 6, 2018
2,374
2,000
Shamba sana wewe!!! kiswahili siyo mali yenu pekee!! nyani nyie!!! ni mali ya wabantu wooote Africa na Ulaya mpaka Levant, mkitaka anzisheni kilugha chenu!!! muone km mtafwata ndo maana mnaitwa nyani kuumbe ni kweli!!

kaniingilie unashindwa nini kujua hapo nyie mnawaza chini tuuuu!! ndo maana hata kiingereza hamjui! neno simple sana eti si ukuje huelewi nini hapo sasa? unavoona tunakosea ndo ivoivo zanzibar wanaona mnakosea pia!! yani miafrica mnachekana. sijui mna nini??
Usitufokee nyau wewe!
 
Shadow7

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
6,499
2,000
Hivi kwanini msiongee English mnayoitambia tu kuliko kuongea Kiswahili mnachotuharibia sana katika matamshi mpaka kuonekana mnatukana muda mwingine.

"NENDA KANIINGILIE"

"VENYE UKIKWENDA"

"SI UKUJE".

Nyi hata mke kwenu mnaita BIBI.
😂 😂 😂
 
Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
3,780
2,000
Usitufokee nyau wewe!
Heee!! sasa ''nyau'' ndo kitu gani sasa? unaona msivyo jua hata kuandika kiswahili mnachodai ni Lugha yenu binafsi!! Maskini kwa asili mna majidai sana. unamaanisha nyau mnyama ungeanza na herufi kubwa Kama mie! Ngedere kabisa!

Mmekosa Hela, Maarifa, sasa mnakimbilia ki-Lugha, Soon mtasema na Oxygen yote ya Africa Mashariki ni Mali yenu! huwa naona km Wabongo wengi Dish! limeyumba hivi! ajili ya njaa kali! kwanza utaishije kwa Chai ya Rangi na vitumbua? eti Dish lisiyumbe?

Maneno meeengi!! sasa hapo nimetamka ki-Kenya tu km mtu ninae kula Ugali na kushiba eti unaona nafoka!! nikifoka je? Msione aibu karibuni Mle na kunywa bure!
 
Thebroker

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
1,178

Mko na dada watamu na sio wachoyo...!
 
Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
3,780
2,000
Mko na dada watamu na sio wachoyo...!
Wadada zetu watamu ajili ya rishe bora!! wanapendwa ndani na Dunia nzima, upendo huanzia nyumbani kwao kenya! ebu angalia Maziwa bure, nyama choma nzuru! nzuri! bure, asali bure, nzige bure, Mana, bure Mungu anashusha tu! ktk nchi pekee iliyotajwa kwa Biblia!! sasa haya yoote wasiwe watamu kweli jamani??

nikuulize umewahi kuonja asali? sasa hamishia ule utamu chini!
 
Thebroker

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
1,178
2,000
Wadada zetu watamu ajili ya rishe bora!! wanapendwa ndani na Dunia nzima, upendo huanzia nyumbani kwao kenya! ebu angalia Maziwa bure, nyama choma nzuru! nzuri! bure, asali bure, nzige bure, Mana, bure Mungu anashusha tu! ktk nchi pekee iliyotajwa kwa Biblia!! sasa haya yoote wasiwe watamu kweli jamani??

nikuulize umewahi kuonja asali? sasa hamishia ule utamu chini!
Japo wapo na sura ngumu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom