Wakenya, mna kipi cha kutushauri majirani zenu huu uchaguzi?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,032
I am really dissapointed seeing my once peaceful country turning into a state of using too much maguvu rather than using and abiding to fair elections, really sad! Airplames, roads, bridges, etc you name it, They really dont matter if there is no freedom of citizens.

The disadvantages of having no opposition parties in parliament gives me chills.

Tufarijiane na kuoeana ushauri in this pandemic that has never been seen in tz.
 
I am really dissapointed seeing my once peaceful country turning into a state of using too much maguvu rather than using and abiding to fair elections, really sad! Airplames, roads, bridges, etc you name it, They really dont matter if there is no freedom of citizens.

Tufarijiane na kuoeana ushauri in this pandemic that has never been seen in tz
Lindeni demokrasia. Mpambane ili msipoteze demokrasia yenu. Tunawashauri kwamba msilale. Demokrasia ikifa basi ni ngumu kuipata tena. Mtatawaliwa na diktator kama vile Egypt au Russia wanatawaliwa na dictators. Hakuna upinzani katika bunge lenu. Hilo halijawahi kufanyika hata Somalia au South Sudan.
 
I thought zamani Wakenya walikuwa wana vurugu zisizo na maana and now I realize that democracy is really precious.
 
Hii haikutarajiwa kwa watoto wa Nyerere kabisa. Kuna mtu alisema magu anamskiza Mkapa pekee, alipoaga huyo mtu akasema Tanzania ipo mashakani. Ila msife moyo, demokrasia itakuja Afrika siku moja
😭😭 Kuna watu wengi sana wanaofurahia kilichofanyika just because wanadhani hii ni kama mechi ya kiushabiki barcelona vs madrid, Nchi kuwa na chama chenye influence inayozidi 90% kwenye bunge ni hatari sana, sijui nani atatutetea sasa maana maji hufata mkondo.
 
CCM power structure is too powerful and the Tanzanians want for change is too weak

Amani na utulivu has never brought changes/reforms in any country, ever!! and it will not get you the much needed change/reforms Tanzania needs

So nothing short of big protests where people are willing to dies and get seriously injured in the fight for change....and I don't think Tanzanians have that kind of resolve right now
 
Lindeni demokrasia. Mpambane ili msipoteze demokrasia yenu. Tunawashauri kwamba msilale. Demokrasia ikifa basi ni ngumu kuipata tena. Mtatawaliwa na diktator kama vile Egypt au Russia wanatawaliwa na dictators. Hakuna upinzani katika bunge lenu. Hilo halijawahi kufanyika hata Somalia au South Sudan.
 
Kuna some wealthy tanzanians naona watahamia tu kenya, those mostly who were accused of money laundering, poleni kwao
 
Ccm power structure is too powerful and the Tanzanians want for change is too weak

Amani na utulivu has never brought changes/reforms in any country, ever!! and it will not get you the much needed change/reforms Tanzania needs

So nothing short of big protests where people are willing to dies and get seriously injured in the fight for change....and I don't think Tanzanians have that kind of resolve right now
Brother that is just our nature, in reality you will find only 1 tanzanian out of 20 with guts to make his message heard when he or she is treated unfairly.

But seriously, I just cant hold the thought of getting beaten to the point of even getting disabled or loosing body parts 😭😭😭

I just am confused why this situation is happening, never thought one day things will turn out like this to the road of absolute socialism
 
😭😭 Kuna watu wengi sana wanaofurahia kilichofanyika just because wanadhani hii ni kama mechi ya kiushabiki barcelona vs madrid, Nchi kuwa na chama chenye influence inayozidi 90% kwenye bunge ni hatari sana, sijui nani atatutetea sasa maana maji hufata mkondo
Wale wakufurahia matokeo ya kuwafuta wapinzani lazima wakuwe ila demokrasia ni demokrasia ikiwa kuna mpinzani wa kukuweka sawa. Ushindani mzuri ni ule wa mshindi kupongezwa na aliyemshinda.
 
Back
Top Bottom