Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 29,619
- 26,025
Wakenya (nyang'au) kujipendekeza ni hulka yenu.
Nikiwa Highschool nilifunzwa kuwa lugha moja inaweza kuwa na vilugha vidogovidogo ambavyo hubainishwa na jamii au jiografia.(lahaja)Wanaongea kiswahili kama wanarudi rivas
Ongeza volume.Nikiwa Highschool nilifunzwa kuwa lugha moja inaweza kuwa na vilugha vidogovidogo ambavyo hubainishwa na jamii au jiografia.(lahaja)
Lahaja za lugha moja hutofautiana katika matamshi,miundo ya sarufi na msamiati.
Kwa mfano Ukimskiza mkikuyu kutoka Kirinyaga akizungumza anatofauti za kimatamshi na mkikuyu kutoka Kiambu au Nyeri.
Kiswahili pia kina lahaja zake .That's why there is a difference between Kenyan and Tanzanian spoken Swahili.
Plus majority of Tanzanians are Bantus..... Swahili is a Bantu/Arabic language ..... In Kenya Nilotes and Cushites form almost half of the country...how do you expect a kale/Maasai/Luo/Somali/samburu/Turkana to speak Kiswahili sanifu!!! The linguistic differences between Nilotic/Cushitic languages and swahili is like day and night!!!Nikiwa Highschool nilifunzwa kuwa lugha moja inaweza kuwa na vilugha vidogovidogo ambavyo hubainishwa na jamii au jiografia.(lahaja)
Lahaja za lugha moja hutofautiana katika matamshi,miundo ya sarufi na msamiati.
Kwa mfano Ukimskiza mkikuyu kutoka Kirinyaga akizungumza anatofauti za kimatamshi na mkikuyu kutoka Kiambu au Nyeri.
Kiswahili pia kina lahaja zake .That's why there is a difference between Kenyan and Tanzanian spoken Swahili.
Usisahau kunywa wanasema kunya utasikia sogea tukunye chaiHivi ninyi wakenya, wasomali, na wahindi Kiswahili chenu huwa mnajifunzia wapi? Ninyi asili yenu ni wapi? mmekaa nasi Afrika mashariki miaka kibao lakini kiswahili hambadiliki kabisa
1. Eti .....nmasema Ati
2. Kumpa mtu kitu.....mnasema amepeana yeye
3.?
4.?
Hapo ulipoandika kikamba , ingekuwa ni kiswahili ungeandika ( Ambao) Ingependeza
Hapo nimemuona sir Elton John, siwataki Tanzania hata bure, soundtrack za mashoga pereka huo uchafu Kenya.
Basi mbona mnalalamika?Hapo nimemuona sir Elton John, siwataki Tanzania hata bure, soundtrack za mashoga pereka huo uchafu Kenya.
Umefanya conclusion ya kwamba tunalalamika, mimi sijalalamika, mchukueni mufassa, simba, pumba, rafiki pamoja na sir batbway Elton John. Animation istufanye tukawa mafirauni. Kama ni wafalme wa nyika serengeti wamejaa tele, Hollywood waende zooBasi mbona mnalalamika?
I derived my conclusion from the title of this thread.Umefanya conclusion ya kwamba tunalalamika, mimi sijalalamika, mchukueni mufassa, simba, pumba, rafiki pamoja na sir batbway Elton John. Animation istufanye tukawa mafirauni. Kama ni wafalme wa nyika serengeti wamejaa tele, Hollywood waende zoo
Usisahau kunywa wanasema kunya utasikia sogea tukunye chai
A thread written by a single person? This is an embarrassment!I derived my conclusion from the title of this thread.
Umekura - umekulaEnderea kukalilishwa tu...kwanza umekura reo
Mnifunze-TrainMnifunze
Mnifundishe
Umekura - umekula
Reo - leo
( as fellow east African I would recommend that, first, get yourself together with the language)
Hapo ulipoandika kikamba , ingekuwa ni kiswahili ungeandika ( Ambao) Ingependeza
Nenda kare arbino wewe...
Mkuu kwa English nzuri ilipaswa waandikeje? Hebu wasahihishe...Aisee mmejaribu sana, na hicho kiingereza kibovu, eti Lion King is an inspiration from Tanzania. Alafu hapo kwa hashtag ndio mmeua! Eti unzipTz, unajua ku'unzip' ni kufanya nini?