Wakenya : Mlituwekea kauzibe, Leo Mmesahau?

Hitimisho ni kuwa KDF ilipoteza askari 800 kwenye ambush ya al adde kibaya zaidi baadhi ya askari wa kdf walinajisiwa that why Google ikaona iwafichie aibu kwa kufuta picha za matukio poor KDF
75% ya KDF ni mashoga, kwahiyo kunajisiwa kwao sio "breaking news".
Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahaha.
 
wale ambao ulisema hawako youtube wako wapi...joto la jiwe...wacha kuhaha...nataka wale ambao hawako youtube..wako wapi...manake pia kw habari hawako pia...mitaani hawakuonekana wakiomboleza....hao ulioleta mbna baadhi ya watu ni wale waliotekwa na ku rekodiwa na wengine wapendwa wao mili yao ilikuwa imekatika vipande...

nataka wale watu wenye hawako youtube wala kwa news..hapa guez toka nakwambia...
 
alafu ulete na idadi zao kabisa....nasubiria idadi ya watu 250 hapa..km ulivyohakikisha km waliokufa ni 400...bwahahahaa...hapa hutoki...wasema gazeti na wakati kw habari hamna kilichoonyeshwa...we wazijua media za kenya waziskia...hawaogopi mtu...mwanzo ishu km inakua headline...watu wanafanya research nyingi hamna anayewapangia...

tusisahau na bunge letu...hyo mada ingeliletwa na wabunge vichaa pasingekalika....speaker mwnywe hubaki na order tu...

mi nadhani unatafuta pakutokea tu..ila nimekubana
 
soma gazeti ulilo niletea vizuri kwanza...kumbe hta kingereza huelewi...sijui elimu yenu iko vipi
 
wale ambao ulisema hawako youtube wako wapi...joto la jiwe...wacha kuhaha...nataka wale ambao hawako youtube..wako wapi...manake pia kw habari hawako pia...mitaani hawakuonekana wakiomboleza....hao ulioleta mbna baadhi ya watu ni wale waliotekwa na ku rekodiwa na wengine wapendwa wao mili yao ilikuwa imekatika vipande...

nataka wale watu wenye hawako youtube wala kwa news..hapa guez toka nakwambia...
Hahahahaha, failed state ninyi, hovyo kabisa, haijawahi kutokea nchi inakataa kutoa idadi ya askari waliouliwa vitani, only a failed state does that.
 
Hahahahaha, more than 1200 KDF soldiers were killed, that's why your government refused to give official figure.
heheeeee...400 mpka 1200..uko desperate sana...bwahahahaa..watu 250 tu walikushinda kuwaleta...
naona umeshindwa kutoka sasa unahamisha magoli...bwahahaha...kenya inakuumiza sana...
maskini kijana wa magu
 
Hahahahaha, failed state ninyi, hovyo kabisa, haijawahi kutokea nchi inakataa kutoa idadi ya askari waliouliwa vitani, only a failed state does that.
lkn si joto la jiwe idadi si umesema ni 400...mbna trna mapovu jamani...yani nimekukamata hadi raa nakwambia...

we huna wa kubishana na mm...bwahahaaa
 
Hahahahaha, more than 1200 KDF soldiers were killed, that's why your government refused to give official figure.
wuhuhuuu..."more than 1200 kdf soldiers were killed,thats why your government refused to give official figure"....

bwahahaa...yani umechanganyikiwa hadi basi....mara hooo 400,mara battalion nzima...mara 1200...

santa sana kibaraka cha magu..wakilisha ccm jf...wuhuhuuuu
 
Figure is 1200, crosscheck with your weak Government
 
Kwanza sio kweli kwamba hatujui kinachotokea Ethiopia kwasababu hakuna Uhuru wa habari, hiyo ni sababu mbayotumia kuhalalisha udhahifu wenu, kama mauaji ya watu wa kabila la Oromo yanayofanywa na POLISI wa Ethiopia yanaripotiwa na vyombo mbalimbali na dunia inajua, vipi kuhusu mashambulizi ya Alshabab yatokee Ethiopia dunia isijue?.

Kitu usichojua ni kwamba, jeshi la Amison lilipiundwa kwenda Somalia, kila nchi ilipewa Eneo maalumu la kwenda kukomboa. Uganda walipewa kazi ya kuwatoa Alshabab Mogadishu na viunga vyake, ili kulinda Ikulu na kurudisha Serikali ya Somalia, hiyo kazi walikamilisha, Burundi nao walipewa kukomboa hili Eneo karibu na Mogadishu kama uonavyo katika hiyo ramani. Baada ya Uganda na Burundi kukomboa maeneo waliyopangiwa, kazi kubwa ni kuyalinda na kufundisha jeshi la Somalia ili waweze kujilinda, Uganda na Burundi hawana jukumu la kukomboa maeneo mengine ndio sababu husikii wakisogea hata kilometer moja.

Djibouti yenye askari 900 tu, ndio nchi iliyokomboa sehemu kubwa na wanalinda eneo hilo toka 2015(Block 4).

Kenya na Ethiopia, sio miongoni mwa nchi zilizochaguliwa kuunda jeshi la AMISON, Ethiopia imekua ikishambulia Ethiopia Mara kwa Mara tangu kuanguka kwa Said Barre, kwasababu wanashutumu waasi wa Ethiopia kutoka Jimbo la Somaliland kwamba wanaishambulia Ethiopia na kukimbilia ndani ya Ethiopia, Jeshi la Ethiopia linaingia Somalia sio kwa lengo la kuwapiga Alshabab, lengo lao ni kutengeneza "buffer zone" ili wapinzani wa serikali ya Ethiopia toka jimbo la Somali land ambao wengi ni waisilamu wanapata misaada toka Somalia, kwahiyo majeshi ya Ethiopia yakikaa Somalia kwa muda, huwa yanatoka na kurudi Ethiopia, kumbuka hayapo chini ya Amisom kwahiyo hawapati support ya pesa toka UN.

Kenya ninyi mlienda kwa interest zenu, kwa ujumla ninyi haikujulikana kwa uwazi nini hasa malengo yenu, mwanzo mlisema mnataka kuzuia Alshabab wasishambulie Kenya, tulitegemea mtatengeneza "buffer zone", ghafla mkaanza kuzidi kuingia ndani, bila kujiandaa, kwasababu kama lengo lenu lilikua kwenda kukomboa sehemu kubwa ya Somalia, ni wazi kwamba mngejipanga kwenda na jeshi kubwa litakaloweza kuteka sehemu kubwa ya Somalia, matokeo yake mumezidi kusonga mbele mkiwa na askari wachache ukilinganisha na ukubwa wa eneo, sasa mnauliwa kila siku kutokana na poor planning kuanzia mwanzo.

Kwa kifupi, nchi zote zilizochaguliwa kuunda Jeshi la AMISOM, walipewa majukumu na eneo maalumu toka Mwanzo, walijipanga vizuri na walianda vikosi vyao kulingana na ukubwa wa eneo na majukumu waliyopangiwa, ndio sababu hawauliwi sana kama KDF. Ninyi hamkujipanga, mlikurupuka sana, ndio sababu jeshi lenu linapigwa sana na Alshabab kwasababu ya " Poor planning from the beginning due to luck of precise Vision and missions and very poor military intelligence "
Kama kawa umeenda kujitungia story yako bila ushahidi wowote!!!!! Djibouti wanashikilia Doria eneo ambalo hata halina alshabaab! Ushawahi sikia Djibouti wakipigana na alshabaab wewe? wanamgambo wa Alhu Sunna waliwafukuza Alshabaab huo upande wa Kaskazini na baada ya Uganda kuingia Somalia Alshabaab walihamia Kusini na HQ yao kuu ilikua ni KIsmayu...

Alafu hapo unaposema Jeshi la Amisom lilipounda kila nchi ilipewa eneo maalum... Hivi unajua Amisom iliundwa lini? Hivi unajua Ddibouti,Ethiopia na Kenya zilijiunga lini na Amisom??? Haya maaeneo yamegawanywa vitofauti kila wakati nchi mpya inajiunga na Amisom, Kitambo kulikua na wanajeshi wa Siera leaone sahii hawapo tena! Sector 6 ilikua ndani ya Sector 2 na ilipewa Ethiopia in 2017, Kuna wakati flani Sector zilikua tofauti kabisaaa!

Hebu tuangalie tena Sector 1 na 5 za Uganda na Burundi,
somalia-amisom-2.jpg

Linganisha na maeneo yaliyo na AMisom ndani ya Sector 1 na 5, Je wamefanyikiwa kusafisha Sector 1 na 5 kweli???

_69280941_som_controlled_areas_070513.gif

Hilo eneo la kaskazini unaona ni kina nani ndo wanalinda???? Hao ni wanamgambo wa Kisomalia ! Hakuna jeshi limemaliza wanamgambo wa alshabaab hapo Somalia kuliko KDF, kwanini usijiulize vipi kiongozi wa alshabaab aliamuru vita vya JIhad dhidhi ya nchi ya Kenya pekee, ilihali kuna nchi nyingi zilizo na wanajeshi huko Somalia? Hivi kwanini usijiulize kwanini Alshabaab ina kitengo spesheli cha wanajeshi cha kushambulia wanajeshi wa KDF na Kenya pekee.

The Islamic administration of Al-Shabaab that controls Somalia's southern regions of Jubba has on Sunday declared holy war on Kenya over reports that Nairobi is training Somali troops.
Sheikh Hussen Abdi Gedi, Al-Shabaab's second in command in the southern port city of Kismayo said his group has received reports of planned offensives from the Kenyan side, urging the regions' residents to prepare for holy war.

Hakuna nchi nyengine ilioko huko Somalia ambayo alshabaab ishawahi kufanya hivyo , mbona usijiulize kwanini

Alafu hakuna nchi 'iliochaguliwa' kujiunga na Amisom, Amisom imepewa mamlaka na AU,
 
Lazima ionyeshe kwamba Kenya imetambulika kama nchi iliyofanya kazi kubwa kuliko nchi zingine zote. Iwe imetambulika officially.
Bunge la Somalia lilipokua linajadili AMISOM na kama hio mission itachukua miaka mingapi, wenyewe walikiri kama KDF haingeingia Somalia, Hali bado ingekua ile ile nusu ya Somalia mikononi mwa Alshabaab.....

Marekani nao malimtuza mkuu wa KDF , kupitia uongozi wake wa KDF, Tofauti kubwa zaidi ilishuhudiwa kati ya vita vya AMISOM na Alshabaab,
.
1098498
1098499
 
Kama kawa umeenda kujitungia story yako bila ushahidi wowote!!!!! Djibouti wanashikilia Doria eneo ambalo hata halina alshabaab! Ushawahi sikia Djibouti wakipigana na alshabaab wewe? wanamgambo wa Alhu Sunna waliwafukuza Alshabaab huo upande wa Kaskazini na baada ya Uganda kuingia Somalia Alshabaab walihamia Kusini na HQ yao kuu ilikua ni KIsmayu...

Alafu hapo unaposema Jeshi la Amisom lilipounda kila nchi ilipewa eneo maalum... Hivi unajua Amisom iliundwa lini? Hivi unajua Ddibouti,Ethiopia na Kenya zilijiunga lini na Amisom??? Haya maaeneo yamegawanywa vitofauti kila wakati nchi mpya inajiunga na Amisom, Kitambo kulikua na wanajeshi wa Siera leaone sahii hawapo tena!

Hebu tuangalie tena Sector 1 na 5 za Uganda na Burundi,
somalia-amisom-2.jpg

Linganisha na maeneo yaliyo na AMisom ndani ya Sector 1 na 5, Je wamefanyikiwa kusafisha Sector 1 na 5 kweli???

_69280941_som_controlled_areas_070513.gif

Hilo eneo la kaskazini unaona ni kina nani ndo wanalinda???? Hao ni wanamgambo wa Kisomalia ! Hakuna jeshi limemaliza wanamgambo wa alshabaab hapo Somalia kuliko KDF, kwanini usijiulize vipi kiongozi wa alshabaab aliamuru vita vya JIhad dhidhi ya nchi ya Kenya pekee, ilihali kuna nchi nyingi zilizo na wanajeshi huko Somalia? Hivi kwanini usijiulize kwanini Alshabaab ina kitengo spesheli cha wanajeshi cha kushambulia wanajeshi wa KDF na Kenya pekee.

The Islamic administration of Al-Shabaab that controls Somalia's southern regions of Jubba has on Sunday declared holy war on Kenya over reports that Nairobi is training Somali troops.
Sheikh Hussen Abdi Gedi, Al-Shabaab's second in command in the southern port city of Kismayo said his group has received reports of planned offensives from the Kenyan side, urging the regions' residents to prepare for holy war.

Hakuna nchi nyengine ilioko huko Somalia ambayo alshabaab ishawahi kufanya hivyo , mbona usijiulize kwanini

Alafu hakuna nchi 'iliochaguliwa' kujiunga na Amisom, Amisom imepewa mamlaka na AU,
Nchi zilizoombwa kuunda Amisom na kukubali kupeleka wanajeshi ni Sieralion, Uganda, Djibouti, Burundi na Malawi, baadae Malawi ilishindwa kupeleka jeshi, Kenya na Ethiopia hazikuombwa ila zilienda baadae kulinda interest za nchi zao, baadae Kenya ikajumuishwa Amisom ili kuweza kuwa na one Commond,
Please be informed that Kenya went there to protect its interest first.

Kuhuhus Eneo 1 na 5 ambayo ni maeneo yaliyoko chini Burundi na Uganda, hayo ndio maeneo ambayo ni highly populated, huko ndio kulikua na kazi kubwa ya kuwatoa Alshabab kwasababu walikuwa wamejichanganya na watu, walikuwa wakiishi majumbani na wasomali wengine.

Haya maeneo mengine ambayo yapo chini ya Ethiopia, Kenya na Djibouti ni mashambani na vijijini, sehemu kubwa ni misitu.

Kenya inashambuliwa sana kwasababu nyingi;
1)Wakati Kenya inaingia Somalia, Alshabab walikua walishafukuzwa maeneo yote ya Somalia isipokua kusini mwa nchi ambako walifanya makazi yao, kwahiyo Alshabab kuachia eneo la kusini kwao ni sawa na "Do or Die", it is their last territory, they can't afford to loose it.
2)Kenya haijatengeneza buffer zone which is big enough to keep Alshabab away from Kenya vicinity like Ethiopia.
3)Kenya imekaribisha wasomali wengi, hivyo ni rahisi kwa Magaidi wa kisomali kuingia na kushambulia
4)Mombasa kuna waisilam wengi ambao wanashirikiana na Alshabab, hasa baada ya POLISI wa Kenya kuanzia kuwauwa viongozi wa kiislam wa pwani, na kugeuza vita dhidi ya ugaidi kuwa na sura ya vita dhidi ya waisilamu.
 
Bunge la Somalia lilipokua linajadili AMISOM na kama hio mission itachukua miaka mingapi, wenyewe walikiri kama KDF haingeingia Somalia, Hali bado ingekua ile ile nusu ya Somalia mikononi mwa Alshabaab.....

Marekani nao malimtuza mkuu wa KDF , kupitia uongozi wake wa KDF, Tofauti kubwa zaidi ilishuhudiwa kati ya vita vya AMISOM na Alshabaab,
.
View attachment 1098498View attachment 1098499
Acha discussion za kitoto hizo, mbona Kenya police in Somalia was recognized for his work by UN, kwani asipewe kiongozi wao, hiyo ni dalili kwamba KDF did very poorly, only one person deserves that credit.
 
Nchi zilizoombwa kuunda Amisom na kukubali kupeleka wanajeshi ni Sieralion, Uganda, Djibouti, Burundi na Malawi, baadae Malawi ilishindwa kupeleka jeshi, Kenya na Ethiopia hazikuombwa ila zilienda baadae kulinda interest za nchi zao, baadae Kenya ikajumuishwa Amisom ili kuweza kuwa na one Commond,
Please be informed that Kenya went there to protect its interest first.

Kuhuhus Eneo 1 na 5 ambayo ni maeneo yaliyoko chini Burundi na Uganda, hayo ndio maeneo ambayo ni highly populated, huko ndio kulikua na kazi kubwa ya kuwatoa Alshabab kwasababu walikuwa wamejichanganya na watu, walikuwa wakiishi majumbani na wasomali wengine.

Haya maeneo mengine ambayo yapo chini ya Ethiopia, Kenya na Djibouti ni mashambani na vijijini, sehemu kubwa ni misitu.

Kenya inashambuliwa sana kwasababu nyingi;
1)Wakati Kenya inaingia Somalia, Alshabab walikua walishafukuzwa maeneo yote ya Somalia isipokua kusini mwa nchi ambako walifanya makazi yao, kwahiyo Alshabab kuachia eneo la kusini kwao ni sawa na "Do or Die", it is their last territory, they can't afford to loose it.
2)Kenya haijatengeneza buffer zone which is big enough to keep Alshabab away from Kenya vicinity like Ethiopia.
3)Kenya imekaribisha wasomali wengi, hivyo ni rahisi kwa Magaidi wa kisomali kuingia na kushambulia
4)Mombasa kuna waisilam wengi ambao wanashirikiana na Alshabab, hasa baada ya POLISI wa Kenya kuanzia kuwauwa viongozi wa kiislam wa pwani, na kugeuza vita dhidi ya ugaidi kuwa na sura ya vita dhidi ya waisilamu.
Onyesha ushahidi kwamba kuna nchi specific ziliombwa na AU kupeleka wanajeshi Somalia? mimi nakumbuka hotuba ya muzeveni pale AU akisema Africa nzima itume majeshi kukomboa Somalia, wakati huo hata Uganda ilikua haijapeleka wanajeshi wake

TFG ambayo ndo ilikua Serekali ya Kwanza kurudi Somalia tangu serekali ya Said Baare kuanguka ilifanyiwa mafunzo hapa Kenya ikiwemo wanajeshi watakaolinda hio serekali na watakaosimamia vyeo maalum vya serekali kama kuokota kodi, kulipa mishahara......
Lengo la Kenya wakati huo ilikua baada ya TFG kuingia Madarakani wakisaidiwa na UPDF, Kenya itajaribu ku create buffer zone kwa mpaka wa KEnya na Somali na hii buffer zone itakua semi-autonomous kama vile Somaliland au Puntland...... Hii project iliua inajulikana kama "Jubaland Initiative" Lakini Serekali ya marekani ilikua inapinga vikali mpango huu wa Kenya ... Kenya iliacha hii project baada ya whistleblower ndani ya serekali ya marekani kupeana hii information kwa Wikileaks , jambo ambalo Kenya ilikataa kukubali kua ni whistleblower ndo alifanya hivyo, ililaumu Marekani kwa kufannya hivyo ki maksuudi ili wasomali wa kawaida walioko Kenya na wale wa huko somalia wapinge huo mpango wa Kenya..

Acha discussion za kitoto hizo, mbona Kenya police in Somalia was recognized for his work by UN, kwani asipewe kiongozi wao, hiyo ni dalili kwamba KDF did very poorly, only one person deserves that credit.
Rt.Julius Karangi si ndo alikua kiongozi wa KDF........ yeye ndo former CDF... yani mkuu wa majeshi yote ya Kenya..... Hio tuzo aliopewa ni kwa niaba ya KDF yote....... Tanzania ikifanya vizuri ni JPM ndo ataewa tuzo kama mwakilishi wa watanzania wote.... Same hing ndo ilifanyika CDF ndo alituzwa kwa kazi nzuri iliofanywa na wanajeshi wake!

The Chief of Defence Forces (CDF) is the highest-ranking military officer in the Kenya Defence Forces and the principal military adviser to the President of Kenyaand the National Security Council. The CDF outranks all respective heads of each service branch and has operational command authority over the service branches. He leads the meetings and coordinates the efforts of the Service Commander, comprising the CDF, the Commander of the Kenya Army and Kenya Air Force, Kenya Navy and the Commandant of Military Intelligence. The CDF has offices in Ulinzi House. Following the 2010 Constitution, the Chief of the General Staff was replaced with the Chief of the Defence Forces.
The office is considered very important and highly prestigious, because the CDF as a body has command authority over the Armed Forces. The chain of commandis from the President (as the Commander in Chief), directly to the CDF. The CDF, as a Principal Adviser, does have authority over personnel assignments and oversight over resources and personnel allocated to the commands within the respective services. The Chairman may also transmit communications to the service commanders from the President. He also performs all other functions as assigned from time to time by the President. The CDF may also allocate those duties and responsibilities to other officers under his name.
 
Back
Top Bottom