WAKENYA KUTANGAZA VIVUTIO VYETU VYA UTALII KUWA NI VYAO!!!

Marashaaa95

JF-Expert Member
Nov 9, 2015
842
709
Kiukweli me nashindwa kuelewa sijui wana matatizo gani...eti nasikia wanatamani hâta anko Magu awe wao sijui wamelimisi rhumba kali?!!..wanaona sie tunafaiidi dozi ya kupauka nguo mpaka mwili...haya kilimanjaro yao...Samatta wanasema wao...kiba na Mondi wao...alafu wanachagua vinyukwa tu...mbona hawasemi harmorapa au kibiti ipo kwao?!!..kuna haja ya kuwashughulikia hawa ndugu zetu..kiukweli kabisa..wanaboaaaaa
17e80024377b1e52ae05936e7a45cf1d.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom