Wakenya Jifunzeni kupika chakula kizuri nimechukizwa sana

Waterloo

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
25,356
38,908
Wakenya habari zenu

Hivi majuzi nilikuwa sehemu moja inaitwa bondo kisumu huko tumepata mwanamke kwa kweli nilifurahia sana mazingira ya huko ikiwa ni pamoja na miundo mbinu ya Barabara.

Shughuli ilikuja kwenye chakula sikufurahishwa kabisa na upishi wa vyakula vyenu hii hata Nairobi nimeiona .jifunzeni kupika bana
 
Nilikutana na maofisa wa Immigration kutoka Nigeria walikua wanatembelea East Africa, walikaa Nairobi na Mombasa wakaja Tanzania na baada ya hapo walikua wanaelekea Uganda. Waliniambia kwa msosi bwana Tanzania, walichanganyikiwa na kiepe, totoz wanasema watoto wazuri lakini lugha ndiyo inaweka mipaka.
 
Nilikutana na maofisa wa Immigration kutoka Nigeria walikua wanatembelea East Africa, walikaa Nairobi na Mombasa wakaja Tanzania na baada ya hapo walikua wanaelekea Uganda. Waliniambia kwa msosi bwana Tanzania, walichanganyikiwa na kiepe, totoz wanasema watoto wazuri laini lugha ndiyo inaweka mipaka.
Tuseme wewe ni mtoto mzuri pia?
 
Nilikutana na maofisa wa Immigration kutoka Nigeria walikua wanatembelea East Africa, walikaa Nairobi na Mombasa wakaja Tanzania na baada ya hapo walikua wanaelekea Uganda. Waliniambia kwa msosi bwana Tanzania, walichanganyikiwa na kiepe, totoz wanasema watoto wazuri laini lugha ndiyo inaweka mipaka.

Hahaha,nimecheka sana,kwamba totozi laini hadi mifupa
 
w
Wakenya habari zenu

Hivi majuzi nilikuwa sehemu moja inaitwa bondo kisumu huko tumepata mwanamke kwa kweli nilifurahia sana mazingira ya huko ikiwa ni pamoja na miundo mbinu ya Barabara.

Shughuli ilikuja kwenye chakula sikufurahishwa kabisa na upishi wa vyakula vyenu hii hata Nairobi nimeiona .jifunzeni kupika bana
wako busy kupiga waume zao huko
 
Si manjua hawajui kubembeleza. Wanawake wa-TZ wanabembeleza hadi kwa kutumia mwiko chakula kinakuwa lainiiii.

Sasa nenda kwa Mkenya utasikia RETA KITUNGUU WEKA KIZIMA-KIZIMA, BONYEZA NYANYA IPASUKE RUSHA KWENYE SUFURIA halafu pakua mara moja peleka kwa yule kijana.
 
ahahaaa
 
Nilikutana na maofisa wa Immigration kutoka Nigeria walikua wanatembelea East Africa, walikaa Nairobi na Mombasa wakaja Tanzania na baada ya hapo walikua wanaelekea Uganda. Waliniambia kwa msosi bwana Tanzania, walichanganyikiwa na kiepe, totoz wanasema watoto wazuri lakini lugha ndiyo inaweka mipaka.
pande za kaskazini hakuna mapishi kabisa hata wachaga wamejua kupika juzijuzi tu hapa nao ilikuwa majanga
 
kidheri ndo nini mamy
vegetables-githeri-wikipedia-Shiku-Ngigi-4x3.jpg

Nilikosea kumbe ni githeri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom