Wakenya hii hapa ni orodha ya watu mashuhuri waliowahi kusoma UDSM. Wekeni na nyie yenu tuone kama kuna chuo hapo Kenya kinatoshana na UDSM

So far hamna chuo cha Kenya kimetoa President! BTW neither Kenyatta snr nor Moi had a degree! Aside Kibaki even Uhuru is doubted to have finished his degree!

CC: Tony254

How in the world does someone's academic degree even matter when they have successfully shown profoundly commendable leadership skills over the whole nation and for a considerable number of years!??? Why is almost everyone seems to try to exalt mere papers over actual field work!???
 
Don't forget:

1. JPM (President, Chemistry Professor)

2. Paul Makonda (MA Administration & Governance, Retired RC)

3. Humphrey Pole2 (MA Economics and Communication)

4. Ole Sabaya (MA Leadership & Crisis Management)

5. Silende (MA Economics)
 
Yoweri Kaguta Museveni (Rais wa Uganda)

Willy Mutunga (Former Chief Justice of Kenya)

Laurent Kabila (Former president DRC)

Eriya Kategaya (Former vice president of Uganda)

John Garang (Former president of Sudan)

Donald Kaberuka (Former president of AfDB)

Joseph Obgeb Jimmy (Namibian Diplomat)


Hawa ni wachache tu natumai watawekwa wengine wengi ili mjue kwamba sisi ndiyo baba wa kila kitu hapa East and Central Africa.

Cc Tony254 komora096 Nicxie Teargass mwaswast Magix Enga Yosef Festo MK254 Kafrican
Msipende kulinganisha awamu ya urais was Mwalimu (RIP mzee wetu) na hizi awamu nyingine za hovyo hovyo!
 
Yoweri Kaguta Museveni (Rais wa Uganda)

Willy Mutunga (Former Chief Justice of Kenya)

Laurent Kabila (Former president DRC)

Eriya Kategaya (Former vice president of Uganda)

John Garang (Former president of Sudan)

Donald Kaberuka (Former president of AfDB)

Joseph Obgeb Jimmy (Namibian Diplomat)


Hawa ni wachache tu natumai watawekwa wengine wengi ili mjue kwamba sisi ndiyo baba wa kila kitu hapa East and Central Africa.

Cc Tony254 komora096 Nicxie Teargass mwaswast Magix Enga Yosef Festo MK254 Kafrican
umemsahau Tanasha kwenye list,alipita w.c bee chuo cha mziki...
 
Ni ruhusu niwape hekima kiasi kwani hekima ni uhuru kama vile motto ya chuo kikuu cha Dar. Naomba nipokelewe kwanza, kwani hii ndio hoja yangu ya kwanza hapa. nitatumia lugha ya kingereza. A little research on the history of early high education in East Africa gives us a good answer.

At independence, our three countries Tanzania, Uganda and Kenya together formed the first university named the University of East Africa. This constituted of the three colleges namely Makerere College, Royal College Nairobi and Dar es Salaam College.

These colleges of East Africa were either specialized or had been assigned certain areas before they split up in early 1970s.For example, Makerere College was assigned three areas in which it specialized, namely: education, forestry and medicine; Royal College Nairobi: engineering, architecture, surveying and photo-grammetry, land economics and building economics; and Dar es Salaam College: law and social sciences.

Therefore, students from the three countries were admitted to these colleges depending on their preferred majors. That’s why the early professionals in the named courses schooled in the various countries. Notably, Makerere which was has been established in 1922 had better facilities than the other two and that’s why the likes of Nyerere, Mkapa, Kibaki schooled there. It’s until 1970 that the university split giving birth to the universities you are now comparing.

If you keenly look at the prominent foreign scholars you’ve highlighted out, e.g Willy Mutunga, he did law while Museveni did political science from University of Dar. Safe to say best lawyers of those times came from Dar, best engineers came for UON while best doctors came from Makerere.
 
Makerere ikianza andika viongozi waliopita pale, nazani tutakiheshimu kama hoja ni watu mashuhuri kusoma Hivi vyuo vya ulimwengu wa tatu...

Tukianza na viongozi wako waliopita
1. Nyerere
2. Mkapa
3. Mabalozi kibao
4. Majaji kibao
5. Mawaziri
6. Madaktari
7. Etc
 
The question is, how many Nobel Peace prizes has UDSM? How many renown writers has UDSM? What successful researches have been done at UDSM? How many CEOs of companies valued over $1 billion has UDSM produced? Otherwise filling poverty stricken countries with dictators is no achievement.
 
Zilizopendwa, enzi hizi wanaopitia humo ndio wale wa kupanda ndege kwa mbwembwe nyingi wakalete kikombe cha babu wa Madagascar na kufunga 'mashine' za kupiga nyungu hadi kwenye hospitali.
Hao uliowataja walikuwa hawawakilishi chuo kikuu cha DSM walikuwa wanajiwakilisha wenyewe na wahukumiwe kwa matendo na maneno yao.
 
Back
Top Bottom