Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,036
- 3,929
Mkenya akidaka bomu la machozi walilokuwa wakirushiwa na Polisi wakati wa fujo kwenye mapokezi ya Raila Odinga
Wakenya wenyewe wanamuita "Teargas Catching and Prevention Officer" TCPO
Hata mimi nahisi hivyo hivyo aisee!Nadhani akilidaka atawarushia nao wahangaike nalo
Kwa wewe ambae hauyajui wenzetu wanaoandamana kila kukicha wameshayazoea hivo wanayajua madhara yake unadhan lingekua Bomu la kiazi limerushwa angeruka hivo kama anafunga goli LA kikapu!!!!Siku zote sitakagi masihara na vitu kama hivi.. Sasa huyo Jamaa likimlipukia mikonon ajiandae kuwa kilema Wa mikon
Mtaalamu wa kukusanya maji ya kuwasha Mkuu. Huyo atakuwa amemaliza kila kituWatanzania wanavyopenda kuiga keshokutwa unamuona mtu nae anajiita mtaalamu wa kukusanya maji ya kuwasha!!
Inawezekana nae alikuwa anapiga randomly as much as he/she could flash bahati akaipata hiyo "snap short". Marvelous!Mi namsifu mpiga picha zaidi...