Wakenya hawana utani na mabomu ya Machozi

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Aug 22, 2012
2,036
3,929
image.jpg


Mkenya akidaka bomu la machozi walilokuwa wakirushiwa na Polisi wakati wa fujo kwenye mapokezi ya Raila Odinga

Wakenya wenyewe wanamuita "Teargas Catching and Prevention Officer" TCPO
 
Siku zote sitakagi masihara na vitu kama hivi.. Sasa huyo Jamaa likimlipukia mikonon ajiandae kuwa kilema Wa mikon
 
Siku zote sitakagi masihara na vitu kama hivi.. Sasa huyo Jamaa likimlipukia mikonon ajiandae kuwa kilema Wa mikon
Kwa wewe ambae hauyajui wenzetu wanaoandamana kila kukicha wameshayazoea hivo wanayajua madhara yake unadhan lingekua Bomu la kiazi limerushwa angeruka hivo kama anafunga goli LA kikapu!!!!
 
Ukishakufa nafsi na hujui mkate wako unaupataje vitu kama hivyo si hatari tena kwako
Cha kushukuru ni kwamba watanznia wengi bado hawajafa nafsi japo Kuna wachache wanajaribu kuua nafsi za watu ni swala la mda tu.
 
Back
Top Bottom