osmaney
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,041
- 998
Habari wanaJF
Poleni na hongereni kwa shughuli mzifanyazo.
Hakika ninyi ni wapambanaji. Kwa wale wafanyao shughuli za halali MUNGU awajalie mpate matunda ya kazi zenu.
Nisizunguke Sana, Kama kichwa kinavyojieleza pale juu. unaeza ukakisoma tena. Apo sawa
Basi leo katika pitapita zangu NAIRALAND FORUMS. Kwa wale ambao hamuijui ni forum falani ivi kama zinafanana ivi na JAMII FORUM. kupita uko nikakutana na ndugu zetu wakenya wazee wa kujipambanisha
Katika huo uzi ulikua unazungumzia kwamba Kenya imewazidi karibu kila kitu Nigeria.. ila hivi viumbe dahh
Katika kurasa za kwanza walijitetea vizuri, lakini baadaye wakaanza kuzidiwa bhana. Wanaigeria sio haba. Nadhani wakenya wenyewe wanajua
Kuona wanazidiwa wakenya bila aibu wakaanza kutumia vitu vya Tanzania Kama vile taasisi za elimu,afya,miji mbalimbali na hata miradi mikubwa ya Tanzania.. hivi viumbe dahh na ubaya walikua wanatumia Kama vyao.
Ndugu zangu wakenya mnakwama wapi..
Sema mnatukubali Sana tz
Fuata link
https://www.nairaland.com/3327789/kenya-ahead-nigeria-all-aspect/8116#91169230
Nawaongezea na baadhi ya screen shot