Wake za watu ridhikeni na wanaume zenu mbona mnatanga tanga sana

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Kiukweli wanawake wengi walio katika ndoa siku hizi wanaonekana sio waaminifu

Kuna rafiki angu alinisimulia anapendwa na binti wa miaka 23 mke wa mtu

Keshamgonga na ushahidi wa video kanionesha

Huyu binti anamponda mmewe anadai hana nyege nae ila zipo kwa huyo rafiki angu

Jana kanionesha msg jinsi huyo demu anavyomng'ang'ania jamaaa na jamaa hamtaki demu

Mimi nilichofanya nikaiba namba ya huyo demu ili nione tabia yake ipoje nikaanza kuchat nae na kujifanya nimekosea namba ila nikamwambia sio vibaya tukiendelea kuwasiliana kwa sababu wote tupo mkoa mmoja wilaya moja

Basi mawasiliano yakapamba moto Leo nikaomba nionane nae mtoto kaniibukia hadi nilipomuelekeza anikute

Demu nimekaa nae ananipa uongo tupu anaishi kwa mjomba ake kumbe anaishi na msela wake

Nimemchezea chezea pale bar nikamwambia sepa kwenu

Wanawake acheni tamaa mtulie na waume zenu kwenye ndoa zenu.
 
Hicho kilikuwa ni kifo cha kujitakia.
Fikiria ungegundulika uko naye na ukafanyiwa mchezo mbaya! Ilihali ulijua mapema kabisa.

Kuoa siku hizi ni kukaza roho sana. Ni shida sana.
Waliooa zamani kidogo ndiyo waliofaidi tu.
 
Wewe unasema wanatangatanga wakati wewe umemchezea ukijua mke wa mtu 🤷‍♀️
 
Kwa ulimchomfanya huyo binti. Hapo naweza kusema mwenye upungufu akili timamu ni wewe.
 
Back
Top Bottom