green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 11,283
- 35,786
Kuna wimbi la wake za watu kujirahisisha kwa wanaume nashindwa kufahamu nini tatizo au ndio wanajutia ndoa wanaamua kuja kutafuta faraja nje ya ndoa au ni umalaya maana wengine wanatimiziwa kila mahitaji yao na wanahali nzuri ila ukigusa tu anakuganda mfano halisi hapa mtaani mi nimebahatika kujenga naishi kwangu ila bado sijaoa sa kifupi nimeshawapakua wake za watu wenye hali nzuri tu zaidi ya 4 na wengine wapo pending mwingine kanifuata inbox FB na kuniambia anahitaji tumeet na mme wake namuheshimu sana pia alishatembea na best angu akamtumia hadi picha ya uchi na nikaiona.. kiukweli hili inatufanya vijana tuchelewe kuoa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app