Wake za watu mnajirahisha sana

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,283
35,786
Kuna wimbi la wake za watu kujirahisisha kwa wanaume nashindwa kufahamu nini tatizo au ndio wanajutia ndoa wanaamua kuja kutafuta faraja nje ya ndoa au ni umalaya maana wengine wanatimiziwa kila mahitaji yao na wanahali nzuri ila ukigusa tu anakuganda mfano halisi hapa mtaani mi nimebahatika kujenga naishi kwangu ila bado sijaoa sa kifupi nimeshawapakua wake za watu wenye hali nzuri tu zaidi ya 4 na wengine wapo pending mwingine kanifuata inbox FB na kuniambia anahitaji tumeet na mme wake namuheshimu sana pia alishatembea na best angu akamtumia hadi picha ya uchi na nikaiona.. kiukweli hili inatufanya vijana tuchelewe kuoa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ndivyo Mkeo mtarajiwa anavyofanywa...
IMG-20190309-WA0058.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ukweli huwa unauma na ni watu wachache wanaokubali kusikia ukweli wao mbaya.

Nimejikuta nacheka na jinsi ID za kiume zilivyomjibu mtoa mada, yeye kaleta ukweli na wao wakampa ukweli..... hehehehee

Life is the way you take it and live.
 
Back
Top Bottom