Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,312
- 10,492
Kuna ka nesi muke ya dokita kana chura ya haja kalitokea kunizoe zoea! Siku ilee nilikuwa zamu night, mida ya saa 6 usiku hivi kazi zikiwa zimepungua pungua! Ule utani haukuwa mzuri! Kalikuja kwa ofisi kakaanza kupandisha gauni huku kakinambia niangalie chupi yake mpya nyeupe! Kalipoinua mguu na kuuweka mezani nilihisi suruali yangu kuongezeka volume...huku kamejisogeza kibumbu kikiwa karibu kabisa usoni mwangu na miguno ishaanza, mapaja meupeee!!
Aisee mpaka leo sijafahamu ni nguvu gani ilinijilia mpaka nikatoka nje na kutokomea kizani!
Kuoa nesi ni mtihani!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee mpaka leo sijafahamu ni nguvu gani ilinijilia mpaka nikatoka nje na kutokomea kizani!
Kuoa nesi ni mtihani!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app