Wake za watu kuliwa ovyo, wa kulaumiwa ni wanaume kwa ushawishi

Napingana na wewe kwa asilimia 100%, siyo kweli hata kidogo kuwa Mwanamke hawezi kujizuia pale anapotongozwa, siyo kweli.
Ukiona umemtongoza Mke wa mtu na amekukubalia basi fahamu kwamba amekubali kufanya kwa hiari yake mwenyewe na siyo kwamba ameshindwa kujizuia.
Amini nakwambia, wapo Wanawake ambao wameolewa na kamwe hawako tayari kusaliti ndoa zao, wanajiheshimu na wana misimamo dhabiti.
Kitendo cha Mwanamke kufanya "zinaa" hiyo ni tabia ya mtu husika na wala haihusiani na maumbile au madhaifu ya kuwa Mwanamke.
Ingelikuwa kuzini ni sababu ya madhaifu ya kimaumbile basi MUNGU asingeweka adhabu kali kwa kila anayefanya zinaa.
Tendo la "zinaa" limetengewa adhabu kali sana, iwe kwa Mwanaume au Mwanamke, wote wataadhibiwa ipasavyo.
Ikimbieni zinaa, dini zote zinaelekeza na kufundisha kuwa "zinaa" ni mbaya sana.
 
Sasa ndugu yangu mbona unakuwa mkali na mpole kwa wakati mmoja? Twende taratibu tu.

Unasema unapingana na hoja kwa 100%, wakati huo huo UTETEZI wako unaishia kusema 'wapo' wanawake wenye misimamo!

Ndiyo wapo, je ni asilimia ngapi?

Chagua kujifariji, au fanya jaribio... tongoza 'siriazi' hao wake za watu (au hata huyo mkeo) kisha uone kwenye 10 wangapi wametick.

Kisha uje utupe mrejesho.
 
Hoja yangu ni kwamba, kitendo cha Mke wa mtu kukubali kufanya "zinaa" na wewe, haisababishwi na mapaungufu au madhaifu ya "kimaunbile". Ni kitendo cha "hiari" kabisa na Mwanamke husika anao uwezo wote wa kukataa au kukubali hata kama utamshawishi kwa mbinu zozote zile, bado anayo mamlaka na uwezo wa kukataa.
Na katika hilo napingana na wewe. Hakuna madhaifu yoyote ya kimaumbile.
 
Madhaifu ya kimaumbile unamaanisha nini, na kivipi yanahusiana na hoja yangu?
 
Mwanamke analaumiwa bure tu, ukweli ni kwamba HANA UWEZO wa kujilinda dhidi ya mashambulizi.

Itokee tu mwindaji hajampatia sawa sawa katika udhaifu wa hisia zake, hii haijalishi HADHI wala UMRI wa mwanamke huyo.
Umesahau ulichokiandika kwenye "uzi" wako? Hiyo hapo 👆 ni sehemu tu ya hoja yako dhaifu kuhusu Wanawake
 
Umesahau ulichokiandika kwenye "uzi" wako? Hiyo hapo ni sehemu tu ya hoja yako dhaifu kuhusu Wanawake

Kwako udhaifu wa kihisia na kimaumbile ni sawa? Umeamua kubishana tu, enewei unaweza kuwa na hoja... lakini haiondoi uhalali wa hoja yangu.

Bado idadi kubwa tu ya wake za watu BEKI hazikabi Mzee, tuseme 7 out 10 uhh!!
 
Haya ndo majibu
20210220_144046.jpeg
 
Pamoja na uwepo wa kifiro, mapanga, laana, ukimwi, homa a ini,beleshi, spana na bisibisi itoshe tuu kusema wake za watu ni watamu, mtu ukiuingiza booni kama kuna vispringi vinabana bolo na joto taamu, waaai wacha tuu tuiwahiwa kweye fumanizi basi
 
Wanatumia HISIA zaidi, kama sio HISIA tu kwenye mambo yetu yale.

Mwanamke anaweza kuliwa kisa tu muuza mkaa ni mcheshi sana!
eti muuza mkaa ni mcheshi, lakini nimwanaume, ila umesahau wanawake vichaa na wenye matatizo ya akili hupata mimba na kuzaa watoto nani huwapa hizo mimba?
 
Back
Top Bottom