Wake za Bin Laden wagombana, mmoja akimlaumu mwenzake kwa kushirikiana na CIA...Pakistan Kuwatimua! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wake za Bin Laden wagombana, mmoja akimlaumu mwenzake kwa kushirikiana na CIA...Pakistan Kuwatimua!

Discussion in 'International Forum' started by jmushi1, Mar 10, 2012.

 1. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,594
  Likes Received: 1,995
  Trophy Points: 280
  Je inawezekana mke mkubwa alimwuza mzee mzima ama ni wivu tu wa mke mdogo?
  [​IMG]
  Huyu ndo mke mdogo...

  Chini ni linki ya interview ya mmojawapo wa wake zake hao, hiyo ni 2012 kabla hata "hawajamwua."

  Inashangaza kidogo...

  [​IMG]
  Osama bin Laden's Wife Appears to Detail The Depressive Sociopathy of a Man Who Imagined Himself Holy, but Chose to Become Hellacious Instead | The Moderate Voice
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Bado anawanyima usingizi? jina lake linauza magazeti duniani na linauwezo wa kubadilisha mtu mawazo kama Tanzania la Rostam livayouza magazeti. Kampeni za US bila kumtaja Osama haziendi.

  Kwi kwi kwi teh teh teh.
   
 3. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wake 4??? Inaomba management ya nguvu sana.
  I don't know how he intended to live a discrete life with this harem...
   
 4. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,594
  Likes Received: 1,995
  Trophy Points: 280
  Hata mimi nimeshangazwa sana, huyu mtu halafu alikuwa mzee wa "veve" aka miraa, ile kama unavyojuwa tena shughuli yake ukishaga AKA gomba, ile handass balaa!lol!

  Wake wanne ni shida sana kuishi kwa siri kama utawaendekeza wote.

  Mwanamume udhaifu wake ni pahala pale pale, no matter how powerful and dangerous they are.
   
 5. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,594
  Likes Received: 1,995
  Trophy Points: 280
  Uchaguzi unapokaribia, lazima jaluo adai credit in many ways.lol
   
 6. T

  Topical JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Acha umbea..

  Yaani wewe una mke moja mangi?

  Basi utakuwa affect na western media kule uchagani kila mchagga ana mke zaidi ya moja ila wanaita nyumba ndogo..

  Kisa kanisa haliruhusu..wanafiki wakubwa

  Mwanaume mke mmoja wako wachache sana duniani (negligible)
   
 7. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Wanaume ugonjwa wetu unafanana...tunataka kuwa na wanawake wengi ambao wala hatuna uwezo nao.
   
 8. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,594
  Likes Received: 1,995
  Trophy Points: 280
  Topical, where is the problem? umesoma everything?
   
 9. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Thread haina mashiko.
   
 10. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #10
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 586
  Trophy Points: 280
  king suleman alikuwa na wake zaidi ya 1000.
  offcourse hiyo sio sababu ya sisi kuwa na wake wengi, lakini hawa wenzetu kina HAWA wanavutia, na ni viburudisho kwa wanaume. tatizo lao moja tu, wana wivu, demu akiona mwenzake kagongwa na fulani na yeye anataka hapo hapo hata km kaolewa.
  :focus:
   
Loading...