Wake / Wapenzi (Wa Kike ) wetu na Mavazi

Bramo wanawake wana mambo mengi sana ukiyafikiria unaweza kukesha..
Nikiwa naangalia tamthilia na mamawatoto utakuta ananiuliza umekiona kile kitopu??.
Au umeliona lile shati au ile jeans??..wakati mie sina kabisa concetration na hiyo kitu..
Macho yao yanaangalia tofauti na ya kwetu..
Naunga mkono hoja aisee...

Siyo kama nawakashifu kina mama ila ukweli ni huu: Mnaweza angalia tamthilia pamoja, kitu cha kijinga kwako yeye anaona cha maana na atakuuliza maswali ya hajabu mpaka unashikwa na hasira wakati mmekaa wote na mnaangalia ile tamthilia. Wewe utaona jamaa ana bonge la jumba na ana demu wa nguvu utasikia wivu kuwa na uwezo kama ule hivyo utawaza ufanyeje ili ufanikiwe, yeye atafikiria vitopu, mawigi na viatu vya Beyonce na namna utakavyompa hela akatafute madukani ili ajionyeshe kwa wenzake na mijibaba wengine, yaani basi tu. Nyie kina mama wa utawala wa Kikwete, kweli mna matatizo.
 
Ana matatizo huyo mwanamke wako mwenye akili kama spana number 3!
Wenzie tunaangalia vitopu na hatukosi kuona kasri waliyoigizia!
 
Kunywa maji ya baridi kwanza utulizane, usipende kukurupukia kujibu watu kwa maneno ya kudhania. Soma mistari yangu utaona sijasema mke wangu humo. Kina Mama wengi wako hivi maana washikaji wanalalamika about the same thing juu ya wake zao.
 
Hehehe, kumbe unamuongelea mke wa mshkajio? Anakaa kijiji gani?
Maji yameenda kwao tunakunywa kwa bajeti.
 
Huenda ndo ukawa wewe mke wa rafiki yangu maana naona unajitetea sana. Usife moyo sikujuwi na sitokucheka ila jirekebishe maana jamaa anakuponda sana mitaani, tunabaki kumshangaa kwa nini bado anaishi nawe.
 
Nitajirekebisha, naahidi shemeji. Si unajua mambo ya kung'ang'ania watu waio wa level yetu? Nikishindwa nitasepa nisake wa level yangu. Hapa naelekea ilala kuna top nimeona kwenye tamthilia jana usiku, kuna muuzaji nampelekea picha anitaftie hehehehe.
 
Mi mke wangu hata akivaa magome ya miti anapendeza. Sisi kutoka kwetu ni kitu cha kawaida sana, sio kila siku tutoke twende kujumuika na watu, sometimes tunatoka na kwenda porini. Tunapata fresh air, tunaona ndege na wadudu mbalimbali. Pia tunaona mimea ambayo ni nadra kuonekana mjini.
Hii inalifanya penzi letu kuwa jipya kila siku.

Ha....ha...mnaenda kuona wadudu??....ha...ha...
 
Kunywa maji ya baridi kwanza utulizane, usipende kukurupukia kujibu watu kwa maneno ya kudhania. Soma mistari yangu utaona sijasema mke wangu humo. Kina Mama wengi wako hivi maana washikaji wanalalamika about the same thing juu ya wake zao.

tabia za wake wa wenzio umezijuaje, au unaongea habari za kusadikia
 
Huenda ndo ukawa wewe mke wa rafiki yangu maana naona unajitetea sana. Usife moyo sikujuwi na sitokucheka ila jirekebishe maana jamaa anakuponda sana mitaani, tunabaki kumshangaa kwa nini bado anaishi nawe.

huyo mwanaume anayezunguka kumsema vibaya mkewe sio mwanaume, atakuwa wa kiume tu..........

Sorry nimedandia treni kwa mbele, ila ndo ukweli wenyewe
 
Pacha ndio maana nimeunga mkono hoja aisee..
Manake nyie mkoba tu unaweza kukutoa roho...

my bro SnowBall nimefurahi sana wewe kupata pacha snowhite ila ukwi jamani mwanamke mavazi hasa yanayonata na mwili atii. unaonaje unapopendeza kisha ukapata mtu anayejua kutumia kupendaza kwako? lol! ni raha ya ajabu aisee.

binafsi napenda sana kupendeza inakupa confo hata ya kukutana na watu.
 
Last edited by a moderator:
Leo Nakuja na nyingine Baada ya Baadhi yenu kunishambulia Mnoooo kwenye "Akina Dada na Lift"
Inasadikika kuwa Akina Mama wengi sana Mara wapatapo Vazi jipya au hata kiatu kipya, kikamkaa Bara bara, basi Hiyo kwa wenzetu hawa ni kama Catalyst ya kutafuta Sababu ya kutoka (Mitoko's catalyst),nikisema kutoka a.k.a Mitoko namaanisha kama vile Kuhudhuria harus/ Birthday au tukio lolote ambalo halikuwa katika plan zao before Hilo Vazi/Kiatu kilichomkaa bara bara na akasikia watu anaowaamini (Ma mento wake) kuwa amependeza ndo Balaaa, unaweza ukasikia "Jaman Asprin jion tukamuangalie Kongosho , amelazwa tokea mwezi uliopita na sijaenda hata siku moja kuomuona"
Hili naomba mkinibishia mje na Fact.

Exactly mwanamke lazima kupendeza sio tu akitoka hata akiwa ndani.
 
Back
Top Bottom