Wake wa marais Africa hakika wanaumbumbu, Tazama hii

Danniair

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
360
66
oafla.jpg


Leo nimejionea Khanga moja imeandikwa UWMAKU/OAFLA hivyo ni vifupi vya maneno, umoja wa wake wa marais Africa. Khanga hii ilikuwa na maneno yanayoeleweka yanayosomeka, "Mtoto wa mwenzio ni mwanao, mkinge na ukimwi ". La ajabu kabisa kabisa ni ramani ya Africa, Ebu kweli inahitajika mwalimu kuwafundisha wake hawa wa marais kuwa Madagascar haiko ktk ghuba ya Sidra (Libya) ndani ya Bahari ya Mediterania bali ktk Bahari ya Hindi?
 
kama naiona hapo kwenye kanga. Designer anaweza kuwa huyu mke wa rais wa hii nchi ya ....... ambaye ni mwl wa UPE
 
Hivi meneja wa kiwanda na madesigner huwa hawakagui hizo nguo? Mke wa rais toka lini akadesign. Mkosoeni kwa mengine kama yapo. Hili halimhusu.
 
Yawezekana washauri wao nao ni mbumbumbu, inakuwaje uanachagua kifupi cha neno lisiloeleweka kama UWMAKU?
 
Mh!.. Kusema ukweli wake za maraisi umewaonea tuu hapa, sidhani kama wao ndio walio design that logo!..
 
mwacheni mwalimu wa watoto wetu wa shule ya chekechea, mnataka afanane na kulingana na mwalimu wa chuo kikuu nasikia wengine wanaitwa Dr (Phd), Prof. hivi hiyo tofauti haionekani??
 
Naona unawaonea wivu!! Kwani wao ndio wanadesign na kuprint khanga? Sema lingine hapa hawahusiki kabisa.
 
Ni umbumbumbu huu ....kwani yeye hakusoma na kujui nini kitaandikwa kwenye hiyo mikanga?mbona matisheti yao ya uchaguzi hawakosei badala la picha ya JK mbona hawaweki picha ya joti...
 
Back
Top Bottom