Umeona eh ndetichia?labda haijaeleweka inamaana gani jaribu kuiweka poa..

Umeona eh ndetichia?

Ni kama ameconclude kuwa wanaume wote wanatafuta nyumba ndogo kwa kuwa wana mali za kuspend nao na kuwa mafanikio yote hutokana na nyumba kubwa tu
Vipi kuhusu ile mi mama inayohonga hela ili ivunje ndoa za watu... wao hufaidi nin???????????
lakini kwani ni uongo MJ1? wakati ana mawazo ya nauli ya kuendea job,mshahara haukutani na wa next month kwenye account? wakati huo u ar the princess! na wadada hawamtaki,akiwasalimia wanamcheka na kumkimbia! lakini akifanikiwa je?

Mke wa kwanza??? kwa sisi wakristo tunaruhusiwa kuwa na mke1 tu so hatujui maana na machungu ya mke wa pili uzoefu huu waislamu wanao sana
Wanaume wakishapata mafanikio baada ya kusota sana na wake zao, ndio wanatafuta sasa wa ku spend nae, na mke wa ndo ndio hapo anasahalika