Wake wa kwanza jamani…………..

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,393
Inaelezwa kwamba wake wa kwanza kwa wanaume wengi, ndio wanaochangia kwa kiasi kikubwa mafanikio ya wanaume hao. Na wake wa pili, yaani nyumba ndogo huletwa na mafanikio hayo yaliyoletwa na wake wa kwanza......

labda haijaeleweka inamaana gani jaribu kuiweka poa..
Umeona eh ndetichia?

Ni kama ameconclude kuwa wanaume wote wanatafuta nyumba ndogo kwa kuwa wana mali za kuspend nao na kuwa mafanikio yote hutokana na nyumba kubwa tu

ukishajitambua nafasi yako inakua haikusumbui kabisa! last wk nilienda kparty moja,bi harusi anaambiwa mjini kubanana.akiletwa mwanamke mwingine ndani mgeuze hgeli wenu, jioni unamkumbusha 'bi mdogo,mzee atakula nini?mwanamke macare,hebu chakarika.kwenye nyama utie tangawizi...' afu ww unakula wa kwanza b4 wao,ataondoka mwenyewe! nilicheka sana!
ila laana ya mke ni mbaya sana,manake ukimuwaza mtu na vishati vyake vya chuo vilivyopauka kola saa hizi anaendesha nissan patrol anakuletea za kuleta,kha!

lakini kwani ni uongo MJ1? wakati ana mawazo ya nauli ya kuendea job,mshahara haukutani na wa next month kwenye account? wakati huo u ar the princess! na wadada hawamtaki,akiwasalimia wanamcheka na kumkimbia! lakini akifanikiwa je?
Umeona eh ndetichia?

Ni kama ameconclude kuwa wanaume wote wanatafuta nyumba ndogo kwa kuwa wana mali za kuspend nao na kuwa mafanikio yote hutokana na nyumba kubwa tu

wanawake wakali kwa matumizi ya waume zao ndio huleta maisha bora kwa kila family.mia

Hii siredi imekakaa kiukweli ukweli, lakini nasita kutoa mchango wangu wa mawazo mke mkubwa asije akuona.

Mke wa kwanza??? kwa sisi wakristo tunaruhusiwa kuwa na mke1 tu so hatujui maana na machungu ya mke wa pili uzoefu huu waislamu wanao sana

nadhani hapa unazungumzia mke na hawala .... hahahahahah

inaweza kuwa ni sawa na isiwe sawa kwani unaweza kuwa na mke ndani asiwe mshauri mzuri au mwongozaji mzuri na maendeleo yote ukayapata kwa huyo hawala (bi mdogo) lakini kila mtu atatambua yameletwa na mke .. kwa mke anaweza asiwe mshauri mzuri kimaendeleo

Vipi kuhusu ile mi mama inayohonga hela ili ivunje ndoa za watu... wao hufaidi nin???????????

Vipi kuhusu ile mi mama inayohonga hela ili ivunje ndoa za watu... wao hufaidi nin???????????

nadhan wanahonga kwa ajili ya kuimalisha mapenzi kwa vile wao wanaamini pesa ni mhimili wa mapenzi

lakini kwani ni uongo MJ1? wakati ana mawazo ya nauli ya kuendea job,mshahara haukutani na wa next month kwenye account? wakati huo u ar the princess! na wadada hawamtaki,akiwasalimia wanamcheka na kumkimbia! lakini akifanikiwa je?

Siongezi nitaharibu kila kitu

lakini kwani ni uongo MJ1? wakati ana mawazo ya nauli ya kuendea job,mshahara haukutani na wa next month kwenye account? wakati huo u ar the princess! na wadada hawamtaki,akiwasalimia wanamcheka na kumkimbia! lakini akifanikiwa je?

Kwa hiyo motivating factor ya kupata mali/maendeleo ni hamu ya kuwa nyumba ndogo?

Wanaume wakishapata mafanikio baada ya kusota sana na wake zao, ndio wanatafuta sasa wa ku spend nae, na mke wa ndo ndio hapo anasahalika

Mke wa kwanza??? kwa sisi wakristo tunaruhusiwa kuwa na mke1 tu so hatujui maana na machungu ya mke wa pili uzoefu huu waislamu wanao sana

<br /
Hata wakristo wana nyumba ndogo.

Wanaume wakishapata mafanikio baada ya kusota sana na wake zao, ndio wanatafuta sasa wa ku spend nae, na mke wa ndo ndio hapo anasahalika

wengi tunaangali mke kwa vile anishi na mmewe lkn maendelea yanaweza kuletwa na mwingine na mke akafaidi wakati si mtafutaji

Back
Top Bottom