Wake Up Mtwara!

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
17,352
32,990
Huu ni wito kwa wana Mtwara wote. Serikali ya CCM imezidi kuwaonea. Wanawaibia gas na sasa wameamua kugawa bandari yenu kwa Wanyonyaji kama mama anavyompa mwanae andazi. Kwa sasa inatosha na wote tuamke na kukataa dharau hii ya CCM na makuwadi wake. Haiwezekani upuuzi wao wa ATCL ulipwe kwa kugawa bandari yetu.

Enough is enough!
 
kazi kwenu, arusha, mwanza, mbeya wameweza. lakini ninyi ndio vinara wa kuipa kura ccm, hebu fikiria mna bandari, korosho na gas lakini ni masikini wa kutupwa, hata watu wakipewa uhamisho kuja huko wanaacha kazi. hii yote ni kwa sababu ya unafiki wenu wa kujifanya mnapenda ccm, mkishapewa wali na tshirt na wake zenu khanga basi kwishnehi... amkeni kweli shauri yenu, msipoangalia mtabaki hivyo milele na mtakufa bila kelele kama wafuasi wa kibwetere.
 
Acheni kuchochea vurugu, hao mnaodhani mnawatetea ndio wanaoathirika na vurugu za rejareja- angalia Tandahimba, masikini wamepoteza hata kile kidogo walichokuwa nacho. Howmuch do you think the other part has loosed?!
 
umenena mkuu, Ubarikiwe
 
Acheni kuchochea vurugu, hao mnaodhani mnawatetea ndio wanaoathirika na vurugu za rejareja- angalia Tandahimba, masikini wamepoteza hata kile kidogo walichokuwa nacho. Howmuch do you think the other part has loosed?!

"Loosed"?????!!!!!!
 
Huu ni wito kwa wana Mtwara wote. Serikali ya CCM imezidi kuwaonea. Wanawaibia gas na sasa wameamua kugawa bandari yenu kwa Wanyonyaji kama mama anavyompa mwanae andazi. Kwa sasa inatosha na wote tuamke na kukataa dharau hii ya CCM na makuwadi wake. Haiwezekani upuuzi wao wa ATCL ulipwe kwa kugawa bandari yetu.

Enough is enough!
Kuna tetesi kuwa Bandari hiyo ya Mtwara itahamishiwa Dodoma kwa jinsi wanavyoionea mikoa ya kusini!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom