kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,234
Wanawake wengi sana pindi akianza mahusiano, akimkuta mwanaume ana mtoto tayari wanakuwa awana maneno sana. Wengi wao wanakubaliana na hali ya mambo huku wakiwa wanatoa tahadhari kwamba ukianza kuishi na mimi then uniletee mtoto sitokubali na sitokuelewa patawaka moto wa tiper.
Leo nimemsikia mdada moja akiwa anapiga umbea na shostita wake. Yule D (Mwanaume wa njee) nampenda sana, tumetoka mbali sana.
Hii mimba niliyo nayo ni yake. Shostita wake akamuuliza vipi mumeo hana tatizo. Tatizo wapi shosti, anajua mimba ya kwake na anavyo nijali usipime kila saa anauliza mtoto anacheza mara ashike tumbo etc etc kitanda akizahi aramu shosti.
Nikajiuliza, mbona wanawake awawakubali watoto waletwao kutoka njee ya ndoa ili hali wengi wao wanaleta watoto wa njee katika familia zao.
Je hii ni haki?????